Historia ya awali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni moved page Kabla-ya Historia to Historia ya awali over redirect: Jina la ukurasa halikuwa sahihi
No edit summary
Mstari 1:
'''Kabla-Historia ya-historia awali''' (katikani [[lugha]]kipindi nyingikirefu [[msamiati]]sana huo unatokana na maneno yacha [[Kigirikihistoria]] προ, pro,kikichukua kablamiaka na ιστορία, istoria, [[historia]]) ni neno linalotumika mara nyingi kuelezea kipindi kirefu sanayote tangu [[binadamu]] walipotokea [[Dunia|duniani]] mpaka [[historia andishi]] ilipoanza (miaka 3,300 hivi [[KK]]).
 
==Jina==
Katika [[lugha]] nyingi [[msamiati]] ni '''kabla ya historia''' (k.mf. kwa [[Kiingereza]] ni pre-history), ambao unatokana na maneno ya [[Kigiriki]] προ, pro, yaani "kabla" na ιστορία, istoria, yaani "historia").
 
[[Paul Tournal]] mwanzoni alitunga neno la [[Kifaransa]] “Pré-historique” katika kuelezea [[ugunduzi]] aliofanya katika [[pango|mapango]] ya [[kusini]] mwa [[Ufaransa]].