Historia ya awali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Historia ya awali''' ni kipindi kirefu sana cha [[historia]], kikichukua miaka yote tangu [[binadamu]] walipotokea [[Dunia|duniani]] mpaka [[historia andishi]] ilipoanza (huko [[Mesopotamia]] miaka 3,300 hivi [[KK]]).<ref name="Shotwell1922">Shotwell, James Thomson. An Introduction to the History of History. Records of civilization, sources and studies. New York: Columbia University Press, 1922.</ref>
 
==Jina==
Mstari 7:
 
Neno hilo lilitumika katika Ufaransa kuanzia [[miaka ya 1830]] kuelezea kipindi kabla ya [[uandishi]], na baadaye likaingizwa na [[Daniel Wilson]] katika [[Kiingereza]] [[mwaka]] [[1851]].
 
==Tanbihi==
{{marejeo}}
 
{{mbegu-historia}}