Kampeni za Kivita katika Afrika ya Mashariki (Vita ya Kwanza ya Dunia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 29:
 
==Awamu la tatu: vita ya porini==
Tangu mwaka 1917 Waingereza walipunguza idadi ya Wazungu na Wahindi badala yake waliunda vikosi vipya vya Waafrika vya [[King's African Rifles]] waliokuwa na uwezo wa kushindana na Waafrika wa Lettow Vorbeck.
 
Walifaulu kusukuma jeshi la Kijerumani kusini zaidi. Katika Oktoba 1917 waliwalazimisha Wajerumani kusimama kwenye mapigano ya [[Mahiwa]] ambako Lettow Vorbeck aliwashinda lakini alipoteza askari mamia. Pia akiba yake ya risasi ilielekea kwisha. Kikosi kikubwa cha askari 1000 chini ya kapteni Tafel walilazimishwa kusalimisha amri baada ya kuishiwa chakula na risasi kabisa. Hata kama hakushindwa Lettow Vorbeck hakuweza kuendelea vile akaamua kuondoka katika Tanganyika na kwenda Msumbiji alipotegemea Wareno kuwa adui mdhaifu.
 
==Awamu la nne: Msumbiji na mwisho==