Taya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Human jawbone left.jpg|thumbnail|right|Taya ya chini ya binadamu]]
'''Taya''' ni sehemu ya muundo wa [[kinywa]] wa [[wanyama]] wengi mwenyewenye kazi ya kushika na kuhamisha [[chakula]] mara nyingi pamoja na kukikatakata.
 
==Mataya ya vertebrata==
Kwenye [[vertebrata]] au wanyama wenye [[uti wa mgongo]] mataya yanajengwa kwa [[mfupa]] au [[gegedu]] na kupatikana kwa [[jozi]] yaani taya yala chini na taya yala juu. Kwa [[spishi]] nyingi huwa na [[meno]].
 
Kwenye wanyama wenye [[miguu]] minne mifupa ya taya yala juu imeunganishwa na mifupa ya [[fuvu]] ya [[ubongo]]. Taya yala chini inaunganishwalinaunganishwa kwa njia mbalimbali na taya yala juu. [[Nyoka]] zinaweza kuachana mataya yote mawili kabisa na hivyo kumeza hata windo kubwa sana.
 
Kwenye [[mamalia]] taya yala chini hushikwa kwa kiungo imara na taya yala juu na mfumo huu unaweka mipaka kwa uwezo wa kufungua kinywa.
 
==Mataya ya arithropodi==
[[Picha:Bullant head detail.jpg|thumbnail|Mataya ya kando ya sisimizi]]
Kwenye [[arithropodi]] kama [[wadudu]] mataya yako kando laya kinywa na yamejengwa kwa [[chitini]]. Yanashika chakula pia wanyama wadogo wengine wanaovindwawanaowindwa na kukipasua.
 
{{mbegu-anatomia}}
 
[[jamii:kiunzi]]