Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+viungo
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Mfumo mmeng'enyo.png|thumb|500px|right|Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula wa Binadamu<br />
TasfiriTafsiri: [[utumbo mwembamba]] (''small intestine''), [[utumbo mpana]] (''large intestine''), [[in]]i (''liver''), [[kongosho]] (''pancrease''), [[ulimi]] (''tongue''), [[tumbo]] (''stomach''), [[tezi za mate]] (''salivary glands''), [[umio]] (''esophagus''), [[puru]] (''rectum''), [[mkundu]] (''anus'')
]]
'''Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula''' ni jumla ya viungo mwilini mwa [[binadamu]] na [[mamalia]] wengine vinavyofanya kazi ya kuingiza [[chakula]] mwilini, kukisagasaga, kukisafirisha ndani ya mwili, kukimeng'enya, kuondoa lishe ya mwili mdami yake, na kuondoa mabaki nje ya mwili. Kwa hiyo mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ni njia yote kuanzia [[mdomo]] hadi [[mkundu]].
Mstari 109:
* [[Utumbo mpana]]
 
== Viungo vya Njenje ==
 
* [http://www.vivo.colostate.edu/hbooks/pathphys/digestion/ Mfumo wa Umeng'enyaji]
* [http://science.nationalgeographic.com/science/health-and-human-body/human-body/digestive-system-article.html National Geographic - Mfumo wa Umeng'enyaji]
Line 116 ⟶ 115:
 
== Marejeo ==
 
# Mwaniki, J. M. (2008) Fundamentals of Biology Second Edition, Delah Educational Publishers, Dar es Salaam
# Taasisi ya Ukuzaji Mitaala, Sayansi, Kitabu cha Nne, Eastern Africa Publications Limited
# [http://digestive.niddk.nih.gov/ddiseases/pubs/yrdd/index.htm Namna Mfumo wa Umeng'enyaji Unavyofanya kazi]
 
{{mbegu-anatomia}}
 
[[Jamii:Biolojia]]