Sementi ya meno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Jino muundo.jpg|thumbnail|Nafasi ya sementi ya meno katika muundo wa jino]]
'''Sementi ya jino''' ''(kutoka [[lat.Kilatini]] cementum)'' ni [[dutu]] inayofanana na aina ya [[mfupa]] na kufunika uso wa [[dentini]] ya [[kizizi cha jino]]. Ni [[ganda]] nyembambajembamba linalotunza dentini na kuishika katika [[ufizi wa meno]] na [[kitundu cha taya]].
 
Sementi hii inafanywa hasa kwa [[kampaundi]] ya [[kalisi]] inayoitwa [[apatiti hidroksili]] (Ca<sub>5</sub>[OH|(PO<sub>4</sub>)<sub>3</sub>]). Kama kampaundi zote za kalisi inaweza kuyeyushwa kwa [[asidi]] na hivi [[uchafu]] [[mdomo|mdomoni]] unaoruhusu kustawi kwa [[bakteria]] zinazotengeneza asidi ni hatari kwa afya ya meno.
'''Sementi ya jino''' ''([[lat.]] cementum)'' ni dutu inayofanana na aina ya [[mfupa]] na kufunika uso wa [[dentini]] ya [[kizizi cha jino]]. Ni ganda nyembamba linalotunza dentini na kuishika katika [[ufizi wa meno]] na [[kitundu cha taya]].
 
Sementi hii inafanywa hasa kwa kampaundi ya [[kalisi]] inayoitwa [[apatiti hidroksili]] (Ca<sub>5</sub>[OH|(PO<sub>4</sub>)<sub>3</sub>]). Kama kampaundi zote za kalisi inaweza kuyeyushwa kwa [[asidi]] na hivi uchafu mdomoni unaoruhusu kustawi kwa [[bakteria]] zinazotengeneza asidi ni hatari kwa afya ya meno. Hapo niNdiyo sababu ya umuhimu wa kupiga [[mswaki]] na kusafisha [[meno]] mara kwa mara, hasa kwa watu wanaotumia [[sukari]] katika [[chakula]] na [[kinywaji|vinywaji]].
 
Sementi hii inaendelea kujengwa upya na [[seli]] za pekee.
 
{{mbegu-anatomia}}
 
[[jamii:meno]]