Teknolojia ya nano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Teknolojia ya nano''' ni [[neno]] nala [[teknolojia]] mpya inayohusu matumizi ya vitu vidogo sana na miundo yaoyake ambayo inapimwa kuwa kati ya [[nanomita]] 1-100.
 
==Maana ya nano==
Asili ya neno ni [[kipimo]] cha [[nanomita]] ambayo ni sehemu ya [[bilioni]] moja ya [[mita]]. Hii inamaanisha vitu ambavyo ni vikubwa kuliko [[atomi]] na vidogo mara 1000 kuliko [[upana]] wa nywele[[unywele]]. Hii inamaanisha ya kwamba teknolojia ya nano inalenga kupanga atomi na molekuli moja kwa moja na pia nje ya hali jinsi zilivyoweza kupangwa hadi sasa.
 
Hivyo teknolojia ya nano inalenga kupanga atomi na [[molekuli]] moja kwa moja na pia nje ya hali jinsi zilivyoweza kupangwa hadi sasa.
Pale ambako wataalamu wanafaulu kushughulika mata kwenye vipimio hivi vidogo sana vitu vingia vinapatikana vinavyoonyesha tabia mpya ambavyo havikujulikana bado. Au vitu vinaweza kutegengenezwa ambavyo vimetazamiwa kiasili hapa na pale lakini haikuwezekana kuvitengeneza kwa matumizi ya kibinadamu.
 
Pale ambakoambapo [[wataalamu]] wanafaulu kushughulikakushughulikia [[mata]] kwenyeyenye vipimiovipimo hivi vidogo sana, vinapatikana vitu vingia vinapatikanavingi vinavyoonyesha tabia mpya ambavyo havikujulikana bado. Au vitu vinaweza kutegengenezwa ambavyo vimetazamiwavimetazamwa kiasili hapa na pale lakini haikuwezekana kuvitengeneza kwa matumizi ya kibinadamu[[binadamu]].
 
==Mifano ya kiasili==
Watu walishangaa tangu kale kuona ni namna gani ya kwamba [[wadudu]] wanaweza kutembea kwenye uso wa [[ukuta]] bila kuanguka. Watungaji wa [[hadithi]] za [[katuni]] kama Spiderman aliwazawaliwaza ya kwamba labda mtu angeweza kutumia [[mbinu]] uleuleileile lakini hii ilitazamiwailitazamwa kama [[ndoto]] tupu.

Tangu wataalamu wametambua [[siri]] hii ya inzi[[nzi]] inajulikana ya kwamba uwezo wao unatokana na nywele nyingi ndogo zenye [[urefu]] wa nanomita kadhaa ambazo zinaongeza sana eneo la uso wa [[miguu]] linalogusana na uso wa ukuta. KAdri

Kadiri ya uwezo unapatikana kutengeneza [[nyuzi]] nyembamabanyembamba kiasi hiki kuna tayari makadirio kwa vifuniko kwa miguu na [[mikono]] vitakavyowezesha watu kutambaa ukutani.
 
Mfano mwingine ni ma[[jani]] ya [[mimea]] mbalimbali ambayo hayawezi kuloweshwa kwa [[maji]]. Muundo wa uso wa majani hayo unakataa maji kukaa juu yake.
 
Mfano mwingine ni majani ya mimea mbalimbali ambayo hayawezi kuloweshwa kwa maji. Muundo wa uso wa majani haya unakataa maji kukaa juu yake. [[Wanasayansi]] wameanza kuiga muundo huu na tokeo lake ni nyuso za vitu visivyochafuka. Kutokana na mauama[[ua]] ya [[yungiyungi]] tabia hii inaitwa "tabia ya yungiyungi" ''(ing.kwa [[Kiingereza]] lotus effect)''.
 
[[jamii:teknolojia]]