Historia ya awali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 14:
Sehemu kubwa kabisa ya historia ya binadamu ilitokea kabla ya maandishi kugunduliwa. Kuhusu zamani hizo tunapata [[habari]] kutokana na [[utafiti]] wa [[akiolojia]].
 
Kwa njia hiyo tunakuta mabaki ya ya siku zile kama vile [[kifaa|vifaa]] na, [[Jengo|majengo]] yaau sikupia zileuchoraji kwenye kuta za mapango lakini tunakosa maelezo jinsi yanavyopatikana tangu watu waanze kuandika kumbukumbu.
 
Kati ya vipindi vya historia ya awali ni [[zama za mawe]]. Wakati huo wote watu walipiga hatua muhimu ya maendeleo, kama vile [[ubunifu|kubuni]] vifaa vya kwanza, [[kilimo]], na kujenga [[kijiji|vijiji]] na [[miji]] ya kwanza.