Muhindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 24:
Mhindi ni kati ya [[nafaka]] ya kwanza kulimwa kama chakula cha binadamu. Asili yake ni [[Amerika ya Kati]] ulipogundiliwa na [[Maindio]]. Wahispania walipeleka nafaka hii Ulaya; taarifa za kwanza za mashamba ya muhindi katika [[Hispania]] zilipatikana mwaka 1525 yaani miaka michache tu baada ya safari ya [[Kolumbus]].
 
Katika Afrika mmea huu ulifika kupitia [[Wareno]]. Maelezo ya jina la muhindi/mhindi yaani [[etimolojia]] yake kuna wezekano mkubwa ya kwamba jina hili linahifadhi imani ya Wazungu ya kuwa Kolumbus alifika Uhindini ya Asia na Wahispania pamoja na Wareno waliendelea kuita nchi mpya "India" kwa miaka mingi. Hivyo nafaka kutoka "India" ile iliingia katika Kiswahili kwa jina lililolingana na imani ya Wareno kuhusu asili yake. Jina hili ni sawa na jina la Kifaransa "froment des Indes" (ngano ya Uhindi) au "Indian corn" jinsi inavyoitwa katika Kiingereza cha Marekani (kwa kawaida leo kifupi "corn"). Lakini katika nchi nyingi jina la Kiindio la "maiz" limeenea kutoka neno la Kiindio "mahiz" katika lugha ya taino kwenye kisiwa cha [[Haiti]]. Ilhali historia ya kufika kwa muhindi katika Afrika ya Mashariki haijulikani kikamilifu kuna pia uwezekano ya kwamba wenyeji walijua ni nafaka kutoka mbali na wenyewe walichagua jina "Uhindi" kama ishara ya asili ya mbali. <ref>Kuna mifano ya etimolojia ya aina hii kwa muhindi katika nchi za Ulaya: katika Ujerumani ya Kusini, Austria na Slovenia muhindi iliitwa "nafaka ya Kituruki" ("türk" au "Türkisch Weizen") ingawa haitokei kule, lakini jina limetokea kwa kutaja asili ya nchi ya mbali.</ref><ref>[http://www.econ.ohio-state.edu/jhm/arch/maize.html Picha za zao linaloonekana kama mahindi zimegunduliwa pia kwenye uchongaji wa picha za ukutani katika hekalu za Uhindi ya zamani kabla ya Kolumbus hivyo kuna imani kati ya wachunguzi kadhaa kuwa muhindi imefika Bara Hindi kupitia Bahari ya Pasifiki ingawa historia hii haijulikani bado,linganisha makala ya "Maize in Pre-Columbian India" inayounwa hapa (tovuti ya Chuo Kikuu cha Ohio State] </ref><ref>Vivyo hivyo makala hii kwenye tovuti ya M. Kumar and J. K. S. Sachan kwenye tovuti ya Rajendra Agricultural University [http://www.agron.missouri.edu/mnl/67/151kumar.html]</ref>
 
== Tabia ==