Yohane Mbatizaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Folio 109v - The Baptism of Christ.jpg|thumb|200px|Yohane akimbatiza Yesu ([[mchoro]] kutoka [[Ufaransa]] mnamo [[karne ya 15]]).]]
'''Yohane Mbatizaji''' ([[7 K.K.]] - [[29]] [[B.K.]] hivi) alikuwa [[nabii]] wa [[Uyahudi]] aliyeishi wakati wa [[Yesu]] wa [[Nazareti]] na kumtangulia miezi tu kuzaliwa, kuanza [[utume]] na kuuawa.
 
Kufuatana na [[Injili ya Luka]] [[sura]] 1-2 Yohane na Yesu walikuwa [[ndugu]] na [[mama]] zao walikuwa [[mja mzito|wazito]] kwa wakati mmoja.
 
Habari zake zinapatikana katika [[Biblia ya Kikristo]] na pia kwa [[vitabu]] vya [[Yosefu mwanahistoria]].
Mstari 8:
Anaheshimiwa na [[Wakristo]] na [[Waislamu]] kama [[mtakatifu]].
 
Pengine [[sikukuu]] yake muhimu zaidi ni ile ya kuzaliwa (inayoadhimishwa na [[Kanisa la magharibi]] tarehe [[24 Juni]], miezi sita kabla ya [[Krismasi]]), lakini ipo pia sikukuu ya [[kifodini]] chake.
 
== Utoto ==
Kadiri ya [[Injili]] ya [[Luka mwinjili|Luka]], alizaliwa ki[[muujiza]] na [[kuhani]] [[mzee]] [[Zakaria (Injili)|Zakaria]] na [[mke]] wake [[tasa]] [[Elizabeti (Injili)|Elizabeti]].
 
Kadiri ya [[Injili]] ya [[Luka mwinjili|Luka]] alizaliwa ki[[muujiza]] na [[kuhani]] [[mzee]] [[Zakaria (Injili)|Zakaria]] na [[mke]] wake [[tasa]] [[Elizabeti (Injili)|Elizabeti]].
 
Bado [[mtoto]] alikwenda kuishi [[jangwa]]ni, labda kutokana na [[kifo]] cha [[wazazi]].
 
[[Wataalamu]] mbalimbali wanadhani kwamba huko alikuwa akiishi kati ya [[Waeseni]], wafuasi wa [[madhehebu]] ya Kiyahudi yenye [[itikadi kali|msimamo mkali]] hata kuliko ule wa [[Mafarisayo]].
 
== Mhubiri katika jangwa ==
 
Alipofikia [[utu uzima]] alianza kuhubiri "[[mwaka]] wa [[kumi na tano]] wa [[utawala]] wa [[Kaisari Tiberio]]" (Luka 3,1) yaani mnamo [[27]]/29 BK.
 
Yohane alikuwa [[mhubiri]] aliyewaonya kwa [[ukali]] wasikilizaji wake na kudai wajiandae kwa [[hukumu]] ya [[Mungu]].
 
Akawakaribisha wapate [[ubatizo]] wa [[maji]] kama [[alama]] ya [[utakaso]] na [[mwanzo]] mpya wa [[maisha]] mapya.
 
[[Injili ya Mathayo]] katika [[sura]] ya 3 inasimulia: "4 Yohane alivaa [[vazi]] lililoshonwa kwa [[manyoya]] ya [[ngamia]], na [[ukanda]] wa [[ngozi]] [[kiuno]]ni mwake. [[Chakula]] chake kilikuwa [[nzige]] na [[asali ya mwituni]]. 5 Basi, watu kutoka [[Yerusalemu]], kutoka [[mkoa]] wote wa [[Yudea]] na sehemu zote za kandokando ya [[mto Yordani]], walimwendea, 6 wakaziungama [[dhambi]] zao, naye akawabatiza katika mto Yordani."
Line 33 ⟶ 31:
 
== Kifo cha Yohane ==
 
Yohane katika mahubiri yake alipinga ma[[tendo]] ya [[mfalme]] [[Herode Antipa]] akakamatwa naye.
 
Line 39 ⟶ 36:
 
== Wafuasi wa Yohane ==
Yohane alikuwa pia na kundi la wafuasi walioendelea kama [[ushirika]] baada ya kifo chake.
 
[[Dini]] ya [[Wamandei]] inadai kuwa imetokana na ushirika huo na: katika [[Kurani]] hao wanaitwa "sabiyuna" au wabatizaji.
Yohane alikuwa pia na kundi la wafuasi walioendelea kama ushirika baada ya kifo chake.
 
[[Dini]] ya [[Wamandei]] inadai kuwa imetokana na ushirika huo na katika [[Kurani]] wanaitwa "sabiyuna" au wabatizaji.
== Yahya katika Kurani ==
 
Yohane anatajwa kwa [[heshima]] katika Kurani pia, kwa [[jina]] la [[nabii]] Yahya (يحيى بن زكريا ''Yahya ibn Zakariya'').
 
Line 51 ⟶ 46:
 
== Fuvu la kichwa ==
 
Kichwa cha Yohane kiliaminiwa kimeweza kutunzwa kikaheshimiwa kama [[salia]] takatifu.
 
Line 92 ⟶ 86:
{{mbegu-mtu-Biblia}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 7 KK]]
[[Jamii:Waliofariki 29]]
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
[[Jamii:Watu wa Kurani]]
[[Jamii:Watakatifu wa Israeli]]
[[Jamii:Wafiadini Wakristo]]
[[Jamii:Manabii katika Uislamu]]