Wikipedia:Mwongozo (Anzisha makala) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
# Je ni afadhali kuanzisha makala mpya badala ya kuongeza makala iliyopo tayari?
# Je una uhakika ya kwamba makala hii haiko bado? Labda kwa jina tofauti kidogo ? (Mfano: Westlands haiko, lakini kuna [[Westlands (Nairobi)]]). Lazima uchungulia kwa kutafuta jina kwa njia ya dirisha la kutafuta sehemu ya pili (ukitaipu "A" utaona kwanza orodha ya makala yanaoanza kwa "A" kama Afrika, Afrika Kusini, Asia - na chini yake "ya maneno...". Hapo chini unapata makala yote yenye neno unalotumia.
# Je ni kweli makala inayofaa kwa wikipedia? Angalia [[Wikipedia:Umaarufu]]. (Mifano: makala juu ya shangazi yako haina mahali hapa kama shangazi huyu hajulikani nje ya ukoo na kijiji chake; makala inayoeleza neno fulani si kazi ya wikipedi lakini wikikamusi...)
==Kuandaa makala==
Mstari 15:
* Kumbuka pia makala yanayoweza kuhusiana na makala yako; uliweza kuziona (kama zipo) kwa kutumia dirisha la kutafuta jinsi ilivyoelezwa hapo juu na. 2. Ni vema kuweka viungo kadhaa kwa makala za maana. '''Mfano:''' Unaandika juu ya mtaa wa Daressalaam. Hapa ni lazima kuwega viungo kwa jina la mji, labda mitaa mingine muhimu iliyotajwa tayari, jina la wilaya yake, labda majengo au taasisi muhimu zilizopo hapa. Haitoshi kutaja majina haya, lazima kuweka [[Wikipedia:Mwongozo (Viungo vya Wikipedia)|viungo]] kwa umbo sahihi.
* Tafuta pia kama makala ya Kiingereza iko juu ya kichwa chako. Mara nyingi iko, na hapo utaifungua na kukopi orodha ya [[Wikipedia:Mwongozo_(Viungo_vya_Wikipedia)#Interwiki|interwiki]] na kuibandika chini ya makala mpya.
* Soma [[Wikipedia:Makosa|orodha ya makosa ya kawaida]] na uepukane nayo.
 
 
==Kuanzisha makala==