Edward Kendall : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 34 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q110101 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Edward Calvin Kendall 1940s.jpg|thumb|Edward Calvin Kendall 1940s]]
 
'''Edward Calvin Kendall''' ([[8 Machi]] [[1886]] – [[4 Mei]] [[1972]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Baadhi ya uchunguzi mwingine alichunguza [[homoni]] katika gamba la [[tezi adrenali]]. Mwaka wa [[1950]], pamoja na [[Philip Hench]] na [[Tadeus Reichstein]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba'''.