Talaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Mfalme Henri VIII wa Uingereza alitengwa Wakristo wa nchi yake na Kanisa Katoliki ili aweze kumpa talaka mke wa...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:1491 Henry VIII.jpg|thumb|[[Mfalme]] [[Henri VIII]] wa [[Uingereza]] alitengwaalitenga [[Wakristo]] wa nchi yake na [[Kanisa Katoliki]] ili aweze kumpa talakakumtaliki mke wake akamuoe mwingine. Ni kwamba [[Kanisa]] hilo halikubali kamwe talaka.]]
'''Talaka''' ni hatua ya [[ndoa]] kuvunjika moja kwa moja kabla ya [[mume]] au [[mke]] [[Kifo|kufa]].
 
Mstari 10:
[[Desturi]] na [[sheria]] kuhusu hatua hiyo na matokeo yake maishani zinatofautiana sana [[Dunia|duniani]]. Mara nyingi unadaiwa uamuzi wa mamlaka fulani, lakini sehemu nyingine unatosha ule wa mume au wa mke tu au wa wote wawili pamoja.
 
Kwa kawaida uvunjifu wa ndoa una madhara makubwa kwa wote wawili, hasa yule mwenye hali nyonge zaidi (kwa kawaida [[mwanamke]]), lakini kwa namna ya pekee kwa [[watoto]] wao ambao wanaweza wakaathirika hasa [[saikolojia|kisaikolojia]].<ref>{{cite web|url = http://www.nlm.nih.gov/medlineplus/divorce.html | title = Divorce | accessdate = 2013-11-01 | author = National Library of Medicine | authorlink = United States National Library of Medicine | date = 5 July 2013 | work = MedlinePlus}}</ref>
 
 
 
== Tanbihi ==