Wikipedia:Umaarufu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d typo
d herufi na mtindo
Mstari 6:
*Ulianzisha jana bendi au klabu mpya. Mnasikia uhakika ya kwamba mtakuwa watu maarufu kabisa. Lakini leo bado hamjafika hata kidogo. Basi bendi au klabu haistahili bado makala ya wikipedia.
 
'''Kipimo muhimu''' ni: Je kuna habari kuhusu kichwa (lemma) katika gazeti, Kitabukitabu au tovuti (ambayo si tovuti ya mwenyewe) inayotaja jambo linalojalidiwalinalojadiliwa?
 
 
KwaUkihitaji kirefumaelezo marefu zaidi: ujisomee kwa Kiingereza hapa: [https://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Notability Wikipedia:Notability]
 
 
'''Ukiulizwa kuhusu umaarufu wa makala usikae kimya.''' Kama mwanawikipedia mwingine ana wasiwasi kuhusu umuhimu wa jambo ataandika kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala yenyewe au kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Usikae kimya, ujibu, ujitetee, onyesha sababu zako.
 
[[jamiiJamii:Msaada]]