Talaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:1491 Henry VIII.jpg|thumb|[[Mfalme]] [[Henri VIII]] wa [[Uingereza]] alitenga [[Wakristo]] wa nchi yake na [[Kanisa Katoliki]] ili aweze kumtaliki mke wake akamuoe mwingine. Ni kwamba [[Kanisa]] hilo halikubali kamwe talaka.]]
'''Talaka''' (kutoka [[Kiarabu]] طلاق) ni hatua ya [[ndoa]] kuvunjika moja kwa moja kabla ya [[mume]] au [[mke]] [[Kifo|kufa]].
 
Ni tofauti na [[utengano]] kati yao ambao unatokea au hata unakubaliwa rasmi na [[mamlaka]] husika: huo unawezesha au pengine unalenga warudiane baadaye.