Mtakatifu Paulo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata) |
No edit summary |
||
Mstari 3:
'''Mtume Paulo''' ([[7]]-[[67]] hivi) ni [[mmisionari]] mkuu wa [[Yesu Kristo]] katika [[historia ya Kanisa]].
Alitangaza [[Kifo cha Yesu|kifo]] na [[Ufufuko wa Yesu|ufufuko wake]] katika nchi karibu zote zilizopo [[kaskazini]] kwa [[Bahari ya Kati]].
Alimaliza ushuhuda wake kwa [[Yesu]] kwa kufia [[dini]] [[Ukristo|yake]] mjini [[Roma]] chini ya [[Kaisari Nero]].▼
▲Alimaliza [[ushuhuda]] wake kwa [[Yesu]] kwa kufia [[dini]] [[Ukristo|yake]] [[Mji|mjini]] [[Roma]] chini ya [[Kaisari Nero]].
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa kila tarehe [[29 Juni]] pamoja na ya [[Mtume Petro]].
== Maisha kabla ya uongofu ==
Mtakatifu Paulo alizaliwa kati ya miaka 7-[[10]] [[BK]] katika [[familia]] ya [[Wayahudi|Kiyahudi]] ya [[kabila]] la [[Benyamini (Israeli)]] na [[madhehebu]] ya [[Mafarisayo]] iliyoishi katika [[mji]] wa [[Tarsus]] (kwa sasa mji huo uko sehemu ya kusini mashariki ya nchi ya [[Uturuki]]).
[[Jina]] lake la kwanza (la [[Kiebrania]]) lilikuwa '''Sauli''', lakini kadiri ya [[desturi]] ya wakati ule alikuwa pia na jina la [[Kigiriki]]: '''Paulos''' kutoka [[Kilatini]] '''Paulus''' (= mdogo). Mwenyewe alikuwa na [[uraia]] wa [[Roma]] kama wananchi wote wa Tarsus.▼
Angali [[kijana]] alisomea [[ualimu wa Sheria]] (yaani wa [[Torati]]) huko [[Yerusalemu]] chini ya [[mwalimu]] maarufu [[Gamalieli]] wa [[madhehebu]] ya [[Mafarisayo]].▼
▲Jina lake la kwanza (la [[Kiebrania]]) lilikuwa '''Sauli''', lakini kadiri ya desturi ya wakati ule alikuwa pia na jina la [[Kigiriki]]: '''Paulos''' kutoka [[Kilatini]] '''Paulus''' (= mdogo). Mwenyewe alikuwa na uraia wa [[Roma]] kama wananchi wote wa Tarsus.
Akishika [[dini]] yake kwa [[Itikadi kali|msimamo mkali]] akawa anapinga [[Ukristo]] kwa kuwakamata, kuwatesa na hata kuwaua Wakristo, kama vile [[Stefano Mfiadini]].
▲Angali kijana alisomea [[ualimu wa Sheria]] (yaani wa [[Torati]]) huko [[Yerusalemu]] chini ya mwalimu maarufu [[Gamalieli]] wa [[madhehebu]] ya [[Mafarisayo]].
== Baada ya uongofu ==
Baada ya kufanya [[utume]] katika mazingira ya [[Kiarabu]], Tarsus na [[Antiokia]] alianza
Ilikuwa kawaida
Muda wote wa [[utume]] wake Paulo alipambana na [[dhuluma]] kutoka kwa Wayahudi wenzake na
Hatimaye alikamatwa na wapinzani wake Wayahudi mjini Yerusalemu, lakini [[askari]] [[wakoloni]] walizuia asiuawe.
Baada ya hapo alilazimika kukaa
Kisha kufunguliwa (labda kwa sababu washtaki wake hawakuwasili) alisafiri tena ingawa hakuna hakika alielekea wapi.
== Kifodini chake ==
Aliuawa nje ya kuta za Roma kwa kukatwa [[kichwa]] wakati wa [[dhuluma]] za [[Nero]] kati ya mwaka [[64]] na [[67]] B.K.
Juu ya [[kaburi]] lake lilijengwa kanisa kubwa ambalo liliteketea kwa [[moto]] katika [[karne ya 18]] likajengwa upya na hadi leo linapokea [[hija]] za Wakristo wengi, hasa katika "[[Jubilei]] ya mtume Paulo" iliyotangazwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kwa mwaka [[2008]]/[[2009]].
== Maandishi yake ==
{{Agano Jipya}}
Kati ya [[barua]] nyingi alizoandikwa (kwa makanisa ya [[Thesalonike]], [[Korintho]], [[Galatia]], Roma, [[Filipi]], [[Kolosai]], [[Efeso]], kwa viongozi Wakristo kama [[Timotheo]] na [[Tito]], tena kwa [[Filemoni]]), katika [[Agano Jipya]] zinatunzwa 13.
Ukubwa na ubora wa mchango wa Paulo unaeleweka tukizingatia kwamba alifanya kazi na kuandika kabla ya vitabu vya Agano Jipya kupatikana. Ndiye aliyeanza kuliandika akipanua mawazo aliyoyapokea katika Kanisa kwa kuzingatia [[Agano la Kale]] na [[mang’amuzi]] yake mwenyewe.
Hapo alifafanua vizuri ajabu maisha ya Kikristo kama [[neema]] ya kumshiriki [[Yesu]] kwa [[imani]], [[sakramenti]] na [[juhudi]] za kushinda [[umimi]] hadi kugeuka [[sadaka]] hai, takatifu na ya kumpendeza [[Mungu]].
[[Wokovu]] huo, utakaokamilika katika [[ufufuko]] wa [[mwili]], unapatikana katika Kanisa, ambalo Paulo alilitambulisha kama [[bibiarusi]] wa [[Kristo]] na mwili wake.
Line 98 ⟶ 104:
{{mbegu-mtu-Biblia}}
[[Jamii:Waliozaliwa 7]]
[[Jamii:Waliofariki 67]]
[[Jamii:Watu wa Biblia|P]]
[[Jamii:Watakatifu wa Uturuki|P]]
[[Jamii:Manabii wa Agano Jipya]]
[[Jamii:Mitume katika Ukristo]]
[[Jamii:Wamisionari]]
|