Tofauti kati ya marekesbisho "Kaizari"

208 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
d (Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q39018 (translate me))
 
Malkia [[Malkia Viktoria (Uingereza)|Viktoria]] alitumia cheo cha Kaizari ("empress") kama mtawala wa [[Uhindi]] tangu [[1877]].
 
Wakati wa ukoloni mtawala mkuu wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] alikuwa [[Kaizari Wilhelm II]] wa Ujerumani; kwenye sarafu ya [[rupia]] alionyeshwa pamoja cheo kwa lugha ya [[Kilatini]] "imperator".
 
Rais [[Jean-Bedel Bokassa]] alijitangaza kuwa Kaizari ("empereur") wa [[Afrika ya Kati]] mwaka [[1977]] akiiga mfano wa [[Napoleon Bonaparte]] aliyejiwekea taji la Kaizari ya [[Ufaransa]] mwaka [[1804]]. Bokassa alipinduliwa 1979 na nchi kuwa [[jamhuri]] tena.