Wamasoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|el}} using AWB (10903)
+masunia
Mstari 1:
[[Picha:Square compasses.svg|thumb|[[Lebo]] ya Umasoni inahusiana na asili ya chama kati ya wajenzi.]]
[[Picha:Freimaurer Initiation.jpg|thumb|200px|[[Kuingizwa]] katika chama cha Wamasoni [[karne XVIII]]. Lengo la [[ibada]] hiyo ni kuachana na maisha ya awali kwa kuigiza [[kifo]] na [[kuzaliwa upya]] katika maisha ya wanachama.]]
'''Wamasoni''' (yaani '''Waashi''' vilevile '''Masunia''') ni [[chama]] cha [[siri]] kinachodai kufuata [[maadili]] na kustawisha [[udugu]] kati ya watu huru.
 
Msingi wake ni [[agano]] kati ya wanachama kwa ajili ya kushirikiana ili kufikia malengo ya pamoja.