Kitabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|la}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 6:
Lakini kuna pia vitabu vyenye kurasa tupu vitakavyoandikwa kwa [[mkono]].
 
Hadi [[karne ya 15]] [[BK]] vitabu vyote viliandikwa kwa mkono kwa kutumia [[kalamu]]; kwa sababu hii vilikuwa vichache na [[bei]] ilikuwa juu. [[Johannes Gutenberg]] alibuni [[mashine]] ya [[Uchapaji|kuchapisha vitabu]] iliyofanikiwa na kurahisisha vitabu sana.
 
Siku hizi vitabu hutolewa pia kwa njia ya [[mtandao]] au [[CD]] kama [[vitabu pepe]].