Wamasoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
historia
Mstari 18:
Wakati wa [[zama za mwangaza]] fikra za falsafa mpya zilienea na jumuiya za waashi ziliwapa wanachama wao nafasi ya kujadili fikra hizi kwa uhuru zaidi kuliko jamii kwa jumla kwa sababu ya tabia ya kisiri ya mikutano yao. Hapa mawazo ya "dini ya kimantiki" yalitokea na kwa jumla waashi huru kati yao waliunda ibada zilizokazia maadili mema bila kutaja tena mafundisho ya Kikristo hasa. Wanachama walipaswa kukiri imani katika "roho mkuu" bila kutumia tena lugha ya kikristo au kukubali mafundisho ya kikanisa. Walilenga kuunganisha Wakristo wa madhehebu mbalimbali pamoja na watu waliokataa imani ya kidini yoyote.
 
Wanaendelea kutumia vyeo vya kale kwa wanachama. Mgeni anapokelewa kama mwanagenzi ''(apprentice)'', anaendelea kuwa fundi ''(fellow)'' na mwenyekiti au msimamzi wa jumuiya kwenyeya halai fulanikieneo huitwa gunge ''(master)''. Jumuiya zao za kimahali zinaitwa nyumba ''(lodge)''.
 
{{mbegu-dini}}