Taasisi ya Taaluma za Kiswahili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kiungo
Fisadi
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
Fisadi'''Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI) ni idara ya '''[[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]], [[Tanzania]]. Taasisi hii ni miongoni mwa taasisi kongwe za lugha nchini Tanzania. Madhumuni yake yakiwa ni kusimamia usanifishaji na maendeleo ya lugha ya [[Kiswahili]]. Hadi mnamo mwaka 2009 taasisi hii ilijulikana zaidi kwa jina la '''TUKI''' au "'''Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili'''".
 
==Historia yake==