Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Redentor.jpg|thumb|right|350px| ''[[Sanamu ya Kristo mkombozi]]'' huko [[Rio de Janeiro]] ([[Brazil]]) ni [[sanamu]] ya [[Yesu]] kubwa kuliko zote zilizopata kutengenezwa.]]
{{Ukristo}}
'''Ukristo''' (kutoka neno la [[ Kigiriki]] Χριστός, Khristos, ambalo linatafsiri lile la [[Kiebrania]] מָשִׁיחַ, Māšîăḥ, linalomaanisha "Mpakwamafuta" <ref>Neno "Mkristo" (Χριστιανός) lilitumika mara ya kwanza kuhusiana na wafuasi wa Yesu katika [[mji]] wa Antiokia [Mdo 11:26] mwaka [[44]] [[BK]]. Wenyewe walikuwa wanajiita "ndugu", "waamini", "wateule", "watakatifu". Katika mazingira ya [[Kisemiti]] waliendelea na bado wanaendelea kuitwa "Manasara", yaani "Wanazareti" kutokana na jina la [[kijiji]] alikokulia Yesu. Kumbukumbu ya kwanza ya mwandishi ya neno "Ukristo" (Χριστιανισμός) ni katika barua za [[Ignas wa Antiokia]], mwaka [[100]] hivi. See Elwell/Comfort. Tyndale Bible Dictionary, pp. 266, 828.</ref>) ni [[dini]] inayomwamini [[Mungu]] pekee<ref>Taz. Catholic Encyclopedia (article "Monotheism"); William F. Albright, From the Stone Age to Christianity; H. Richard Niebuhr; About.com, Monotheistic Religion resources; Kirsch, God Against the Gods; Woodhead, An Introduction to Christianity; The Columbia Electronic Encyclopedia Monotheism; The New Dictionary of Cultural Literacy, monotheism; New Dictionary of Theology, Paul, pp. 496–99; Meconi. "Pagan Monotheism in Late Antiquity". p. 111f.</ref> kama alivyofunuliwa kwa [[Waisraeli]] katika [[Agano la Kale]] na hasa na [[Yesu Kristo]], [[mwanzilishi]] wake, katika [[karne ya 1]].
 
Dini hiyo, iliyotokana na ile ya [[Wayahudi]], inalenga kuenea kwa [[binadamu]] wote, na kwa sasa ni [[Ukristo nchi kwa nchi|kuu]] kuliko zote duniani, ikiwa na wafuasi 2,200,000,000 (33.39% kati ya watu 7.174 bilioni).<ref>Taz. Hinnells, The Routledge Companion to the Study of Religion, p. 441.
Mstari 12:
[[Kitabu]] chake kitakatifu kinajulikana kama [[Biblia ya Kikristo|Biblia]]. Ndani yake inategemea hasa [[Injili]] na vitabu vingine vya [[Agano Jipya]].
 
Kati ya [[madhehebu]] mengi sana ya Ukristo, karibu yote yanamkiri [[Yesu]] kuwa kwa pamoja Mungu kweli na mtu kweli: katika [[umoja]] na [[nafsi]] yake ya Kimungu zinapatikana sasa hali hizo zote mbili.
 
Yote yanamkiri kuwa [[Mwokozi]] wa watu wote, na kuwa ndiye atakayerudi mwishoni mwa [[dunia]] kwa [[hukumu]] ya wote, ingawa maelezo kuhusu jambo hilo yanatofautiana.
 
TenaVilevile yote yanamchukua kama [[kielelezo]] cha [[utakatifu]] ambacho kiwaongoze katika [[maadili]] yao maalumu, kuanzia [[unyenyekevu]] na [[upole]] hadi [[upendo]] unaowaenea wote, bila kumbagua yeyote, hata [[adui]].
 
== Asili ==
Chimbuko la Ukristo ni kuwepo kwa mtu aliyezaliwa takriban miaka 2000 iliyopita huko [[Mashariki ya Kati]], katika [[kijiji]] cha [[Bethlehemu]] kilichopo hadi hivi leo kwenye mipaka ya [[Palestina]]; alikuwa akiitwa [[Yesu]] wa [[Nazareti]] ([[kijiji]] alikokulia) au [[mwana]] wa [[Yosefu (mume wa Maria)|Yosefu]] [[mchonga samani]]; [[mama]] yake akifahamika kwa [[jina]] la [[Bikira Maria]].
 
Kwa kumuita pia [[Kristo]], wafuasi wake walikiri kwamba ndiye aliyetimiza [[utabiri]] wa ma[[nabii]] wa kale, kama unavyopatikana katika vitabu vya [[Biblia ya Kiebrania]] na [[Deuterokanoni]].
 
=== Masiya Yesu ===
Ukristo ni matokeo ya [[utume]] wa Yesu, uliopokewa na waliomwamini kuwa ndiye [[Masiya]], yaani [[mkombozi]] aliyetimiliza ahadi za Mungu kwa uzao wa [[Abrahamubinadamu]].
 
Katika [[kitabu cha Mwanzo]] tunasoma [[Utabiriutabiri]] wa kuja kwake ulianzia katika [[bustani]] laya [[Edeni]] pale Mungu alipomwambia [[mwanamkenyoka]], "uzao wako utamponda kichwa"yaani [[nyokashetani]], yaanikuhusu [[shetanimwanamke]] kwamba "uzao wake utakuponda kichwa" ([[Mwa]] 3:15).
 
Baadaye [[Abrahamu]], babu wa [[taifa]] la [[Israeli]], kwa [[imani]] na [[utiifu]] wake kwa Mungu, aliahidiwa kwamba katika [[uzao]] wake mataifa yote [[baraka|yatabarikiwa]].

[[Musa]], [[mwanaharakati]] aliyewakomboa watu wa Israeli kutoka [[utumwa]]ni [[Misri]] takribani miaka 1250 [[1250 KK|]] (kabla ya kuzaliwa kwa Yesu]]), ndiye [[nabii]] wa kwanza kutabiri wazi kwa niaba ya Mungu ujio wa Masiya au Kristo ([[Kumb]] 18:15-22, hususan mstari 18: "Nitawainulia nabii kama wewe kutoka miongoni mwa ndugu zenu; na nitatia neno langu kinywani mwake na atasema nao yote niliyomwamuru."
 
Kuja kwake kulitimia katika Agano Jipya, ambalo ni ukamilifu wa yote yaliyotabiriwa katika [[Agano la Kale]]. Kwani Musa alitumwa kuanzisha Agano la Kale kama maandalizi ya Agano Jipya, akikabidhi mifumo mingi ya nje na ndani kwa watawala na [[waamuzi]] waliomfuatia watakaoshikilia Agano la kusubiri Masiya wakishirikiana na ma[[nabii]] na ma[[kuhani]].
 
Yesu alizaliwa miaka kama 1800 baada ya Abrahamu. Vitabu vya [[Injili]] vinaeleza matukio na mafundisho ya Yesu ambayo ndiyo mwongozo wa [[imani]] hiyo. [[Maisha]] na [[kazi]] ya Yesu yameibuavimeibua mambo mengi katika [[historia]]. Ndiyo sababu [[kalenda]] iliyoenea duniani huhesabu miaka kutoka ujio wake; huu ni [[mchango]] mmojawapo wa Ukristo katika [[ustaarabu]].
 
=== Mafundisho ya msingi ya Yesu ===
 
[[Picha:Bloch-SermonOnTheMount.jpg|thumb|300px|'''Hotuba ya Mlimani''' kadiri ya [[Carl Heinrich Bloch]]. [[Hotuba ya Mlimani]] inachukuliwa na Wakristo kuwa utimilifu wa [[Torati]] iliyotolewa na [[Musa]] katika [[Mlima Sinai]].]]
 
Yesu alifanya [[ishara]] za kustaajabisha, au [[miujiza]]. Matokeo ni kwamba, watu wengi wakamwamini.
 
[[Nikodemu]], mshiriki mmojawapo wa [[baraza]] la [[Sanhedrini]], ambayoambalo ilikuwalilikuwa pia [[mahakama kuu]] ya Wayahudi, alivutiwa na kutaka kujua zaidi kuhusu [[siri]] ya miujiza hiyo na [[ujumbe]] kutoka kwa Mungu; kwani yeye alihamasika kuona ishara zile kutoka kwa Mungu.
 
Yesu akamjibu kwamba hakika mtu hawezi kuingia [[ufalme wa Mungu]] asipozaliwa mara ya pili kwa [[maji]] na [[Roho Mtakatifu]].
Line 46 ⟶ 47:
Pia akajieleza kuwa [[mpatanishi]] wa [[ulimwengu]] wa [[dhambi]] na Mungu na kwamba kila anayemgeukia kwa [[imani]] hatapotea, bali atarithi [[uzima wa milele]]: alisema mwenyewe ni mfano wa [[nyoka wa shaba]] aliyetengenezwa na Musa. ([[Yoh]] 2:23-3:21; [[Hes]] 21:9).
 
Akiwa kando ya [[Ziwa la Galilaya]], Yesu alikuta [[umati]] wa watu umekusanyika. Basi akapanda [[mashua]]ni na kuenda mbali kidogo na [[ufuoni]], akaanza kuwafundisha kuhusu [[Ufalme wa mbinguni]] kupitia mfululizo wa mifano.
 
Mmojawapo ni huu ufuatao: "Ufalme wa mbinguni ni kama punje ya [[haradali]] ambayo mtu anaipanda. Ingawa ni [[mbegu]] ndogo sana inakua na kuwa [[mti]] wa [[mboga]] mkubwa kuliko yote. InakuaInakuwa mti ambao [[ndege]] wanauendea, wakipata makao katika matawi yake". ([[Math]] 13:1-52; [[Mk]] 4:1-34; [[Lk]] 8:4-18; [[Zab]] 78:2; [[Isa]] 6:9,10).
 
== Kanisa siku za mwanzo ==
 
Jumuia ya Wakristo inaitwa [[Kanisa]], yaani "mkusanyiko" kama lilivyotajwa na Yesu mwenyewe hasa katika [[Injili ya Mathayo]] 16:18: