Mbawakawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sahihisho
Nyongeza jina la Kiswahili
Mstari 21:
Oda ya Coleoptera ni kubwa kuliko oda zote za [[mnyama|wanyama]] na ina zaidi ya [[spishi]] 400,000. Spishi nyingi bado hazijafafanuliwa na wataalamu wanakisia kwamba jumla ya spishi itazidi milioni moja na kwamba 25% ya spishi zote za wanyama ni Coleoptera. Kwa sasa karibu na 40% ya spishi za nyama zilizofafanuliwa ni Coleoptera. Lakini karibuni hivi wanasayansi wameanza kumaizi kwamba oda hii si [[monofiletiki]], yaani haina mhenga mmoja tu. [[Nusuoda]] ya [[Adephaga]] inaweza kuwa oda na labda makuni mengine ya Coleoptera yatapewa oda zao.
 
Kuna majina mbalimbali kwa makundi ya mende-kibyongo, kama vile: [[bungo]], [[dundu]], [[fukusi]], [[kidungadunga]], [[kimetameta]]/[[kimulimuli]], [[kipukusa]], [[kisaga]], [[mbawakau]], [[mdudu-kibibi]], [[sururu]] na [[tuta]].
 
==Picha==