Mume : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nimeondoa Kigezo:Unganisha
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Joodse bruiloft Rijksmuseum SK-A-2598.jpeg|thumb|Ndoa ya Kiyahudi ilivyochorwa na [[Jozef Israëls]], [[1903]].]]
'''Mume''' ni [[binadamu]] wa [[jinsia]] [[Mwanamume|ya kiume]] ambaye [[Ndoa|ameoana]] na [[mwanamke]].
 
Katika adhimisho la ndoa, mwanamume anaitwa pia [[bwana arusi]].
 
Mwanamume wa namna hiyo anaendelea kuitwa mume hadi ndoa ivunjike kwa [[kifo]] cha [[mke]]we (hapo ataanza kuitwa "[[mjane]]") au kwa [[talaka]] (hapo ataanza kuitwa "[[mtaliki]]").
 
[[Utengano]] haumuondolei [[hadhi]] ya kuwa mume wala [[haki]] zinazoendana nayo kadiri ya [[sheria]] na [[desturi]] za jamii husika.
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Jinsia]]
[[Jamii:Ndoa]]
[[Jamii:Familia]]