Mke : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nimeondoa Kigezo:Unganisha
No edit summary
Mstari 2:
[[Image:Wedding and Engagement Rings 2151px.jpg|thumbnail|Sehemu nyingi [[pete]] ni [[ishara]] mojawapo ya mtu kuwa na ndoa.]]
'''Mke''' ni [[binadamu]] wa [[jinsia]] [[Mwanamke|ya kike]] ambaye [[Ndoa|ameoana]] na [[mwanamume]].
 
Katika adhimisho la ndoa, mwanamke anaitwa pia [[bibi arusi]].
 
Mwanamke wa namna hiyo anaendelea kuitwa mke hadi ndoa ivunjike kwa [[kifo]] cha [[mumewe]] (hapo ataanza kuitwa "[[mjane]]") au kwa [[talaka]] (hapo ataanza kuitwa "[[mtaliki]]").
 
[[Utengano]] haumuondolei [[hadhi]] ya kuwa mke wala [[haki]] zinazoendana nayo kadiri ya [[sheria]] na [[desturi]] za [[jamii]] husika.
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Jinsia]]
[[Jamii:Ndoa]]
[[Jamii:Familia]]