Tofauti kati ya marekesbisho "Burundi"

6 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Jamii ya Burundi ni jamii ya vijijini, ni asilimia 13 pekee wanaoishi katika miji.<ref>[https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/by.html World Fact Book 2008]</ref>
 
Vikundi kati ya wakazi ni hasa [[Wahutu]] (~8580%), [[Watutsi]] (~14%) na [[Watwaa]] ([[mbilikimo]]) (chini ya 1%). Wote wanatumia lugha ya Kirundi.
 
Pamoja na hayo, kuna [[Warundi]] wachache wanaojinasibu kuwa wao sio Watutsi wala Wahutu bali ni [[Waswahili]] (~5%). Hilo kabila lilikuwepo toka enzi za tawala za kifalme nchini humo, na ndio wenyeji wa [[jiji]] la [[Bujumbura]], waliomsaidia [[Mwanamfalme]] [[Louis Rwagasore]] katika [[harakati]] za kutafuta [[uhuru]] wa Burundi.
 
==Dini==