Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
'''Ukristo''' (kutoka neno la [[ Kigiriki]] Χριστός, Khristos, ambalo linatafsiri lile la [[Kiebrania]] מָשִׁיחַ, Māšîăḥ, linalomaanisha "Mpakwamafuta" <ref>Neno "Mkristo" (Χριστιανός) lilitumika mara ya kwanza kuhusiana na wafuasi wa Yesu katika [[mji]] wa Antiokia [Mdo 11:26] mwaka [[44]] [[BK]]. Wenyewe walikuwa wanajiita "ndugu", "waamini", "wateule", "watakatifu". Katika mazingira ya [[Kisemiti]] waliendelea na bado wanaendelea kuitwa "Manasara", yaani "Wanazareti" kutokana na jina la [[kijiji]] alikokulia Yesu. Kumbukumbu ya kwanza ya mwandishi ya neno "Ukristo" (Χριστιανισμός) ni katika barua za [[Ignas wa Antiokia]], mwaka [[100]] hivi. See Elwell/Comfort. Tyndale Bible Dictionary, pp. 266, 828.</ref>) ni [[dini]] inayomwamini [[Mungu]] pekee<ref>Taz. Catholic Encyclopedia (article "Monotheism"); William F. Albright, From the Stone Age to Christianity; H. Richard Niebuhr; About.com, Monotheistic Religion resources; Kirsch, God Against the Gods; Woodhead, An Introduction to Christianity; The Columbia Electronic Encyclopedia Monotheism; The New Dictionary of Cultural Literacy, monotheism; New Dictionary of Theology, Paul, pp. 496–99; Meconi. "Pagan Monotheism in Late Antiquity". p. 111f.</ref> kama alivyofunuliwa kwa [[Waisraeli]] katika [[Agano la Kale]] na hasa na [[Yesu Kristo]], [[mwanzilishi]] wake, katika [[karne ya 1]].
 
Dini hiyo, iliyotokana na ile ya [[Wayahudi]], inalenga kuenea kwa [[binadamu]] wote, na kwa sasa ni [[Ukristo nchi kwa nchi|kuu]] kuliko zote duniani,<ref>Hinnells, ''The Routledge Companion to the Study of Religion'', p. 441.</ref><ref>{{cite news |title=Study: Christian population shifts from Europe |author=Zoll, Rachel |url=http://www.guardian.co.uk/world/feedarticle/10003271|newspaper=Associated Press |date=December 19, 2011 |accessdate=25 February 2012}}</ref><ref name="PewDec2012">{{cite web|url=http://www.pewforum.org/files/2014/01/global-religion-full.pdf|title=The Global Religious Landscape: Christianity|publisher=Pew Research Center|date=December 2012|accessdate=2012-07-30}}</ref> ikiwa na wafuasi 2,400,000,000 (33% kati ya watu 7.274 bilioni)<ref name="World">33.39% of ~7.2&nbsp;billion world population (under the section 'People') {{cite web|url=https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/xx.html|title=World|publisher=CIA world facts}}</ref><ref name="gordonconwell.edu">{{cite web|url=http://www.gordonconwell.edu/resources/documents/1IBMR2015.pdf|title=Christianity 2015: Religious Diversity and Personal Contact|publisher=gordonconwell.edu|date= January 2015 |accessdate=2015-05-29}}</ref><ref name="Major Religions Ranked by Size">{{cite web|url=http://www.adherents.com/Religions_By_Adherents.html |title=Major Religions Ranked by Size |publisher=Adherents.com |date= |accessdate=2009-05-05}}</ref><ref name="Global Christianity">{{cite web|author=ANALYSIS |url=http://www.pewforum.org/Christian/Global-Christianity-exec.aspx |title=Global Christianity |publisher=Pewforum.org |date=2011-12-19 |accessdate=2012-08-17}}</ref>, ambao [[nusu]] ni waamini wa [[Kanisa Katoliki]] na nusu ya pili wamegawanyika katika [[madhehebu]] mengi sana.
Dini hiyo, iliyotokana na ile ya [[Wayahudi]], inalenga kuenea kwa [[binadamu]] wote, na kwa sasa ni [[Ukristo nchi kwa nchi|kuu]] kuliko zote duniani, ikiwa na wafuasi 2,200,000,000 (33.39% kati ya watu 7.174 bilioni).<ref>Taz. Hinnells, The Routledge Companion to the Study of Religion, p. 441.
Zoll, Rachel (December 19, 2011). "Study: Christian population shifts from Europe". Associated Press. Retrieved 25 February 2012.
33.39% of 7.174 billion world population (under the section "People and Society") "World". CIA world facts.
"The List: The World's Fastest-Growing Religions". foreignpolicy.com. March 2007. Retrieved 2010-01-04.
"Major Religions Ranked by Size". Adherents.com. Retrieved 2009-05-05.
ANALYSIS (2011-12-19). "Global Christianity". Pewforum.org. Retrieved 2012-08-17.</ref>
 
[[Kitabu]] chake kitakatifu kinajulikana kama [[Biblia ya Kikristo|Biblia]]. Ndani yake inategemea hasa [[Injili]] na vitabu vingine vya [[Agano Jipya]].
 
Kati ya [[madhehebu]] mengi sana ya Ukristo, karibu yote yanamkiri [[Yesu]] kuwa kwa pamoja Mungu kweli na mtu kweli: katika [[umoja]] na [[nafsi]] yake ya Kimungu zinapatikana sasa hali hizo zote mbili.
 
Yote yanamkiri kuwa [[Mwokozi]] wa watu wote, na kuwa ndiye atakayerudi mwishoni mwa [[dunia]] kwa [[hukumu]] ya wote, ingawa maelezo kuhusu jambo hilo yanatofautiana.