Ubalehe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
malaya
Tags: Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya 2A03:2880:3010:7FF3:FACE:B00C:0:1 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na [[User:2A03:2880:3010:7FF1:FACE:...
Mstari 1:
kuma nyie
 
== Mabadiliko ya viungo vya uzazi ==
0656117640
[[Uume]] ([[mboo]]) wa [[mvulana]] unakua, lakini kwa kiasi tofauti kati ya mtu na mtu. Ni muhimu kila mmoja ajipokee alivyo hata katika kiungo hicho, bila ya kuhangaika wala kuona [[aibu]] kwa sababu, eti ni kidogo.
 
Kusimika kwa uume si jambo jipya kwa kuwa [[utotoni]] limeshatokea kawaida kutokana na [[kibofu]] kujaa [[mkojo]]. Ila sasa linaweza kutokea kwa sababu mpya, yaani [[jinsia]].
 
Muundo wa uume ni [[misuli]] aina ya [[sifongo]] yenye [[neva]] nyingi. Kukiwa na [[msisimko]] [[damu]] inajaa nafasi zilizomo na kusababisha uume utanuke na kusimama imara na wima. Kusimika kunajitokeza na kupotea haraka kutegemeana na hali iliyopo. Hali hiyo inaweza kutokea bila ya mtu kutaka, kwa mfano [[usiku]] au pia [[mchana]] kati ya watu ikimfanya aone [[haya]].
 
Upande wa [[maadili]] tusisababishe hali hiyo bila ya lengo jema, kama vile kumtibu [[mgonjwa]], kutoa [[ushauri nasaha]] au kujielimisha kuhusu [[jinsia]]. Kwa hiyo tukwepe kwa kawaida yale yote yanayoweza kusisimua, kama vile mawazo, maneno, masomo, mitazamo na vitendo mbalimbali kuhusu jinsia. Mvulana anahitaji kujifunza [[nidhamu]] ya namna hiyo.
 
Mashauri mengine ni kutovaa [[kaptura]] wala [[suruali]] zinazobana, na kuficha kwa [[adabu]] hali hiyo ikitokea, lakini bila ya kuiogopa wala kudhani ni [[dhambi]].
 
[[Mapumbu]] yanaanza kutengeneza [[mbegu za kibinadamu]] kwa wingi sana: hizo ni ndogondogo na zina umbo kama la [[viluwiluwi]] vya [[chura]], yaani vina vichwa na mikia tu.
 
Vichwa ndivyo vinavyoleta [[viini vya urithi]] wa baba. Mikia kazi yake ni kusaidia tu kusukuma mbegu kwa kuogelea ndani ya [[tumbo la uzazi]] mpaka zikutane na [[kijiyai]] cha [[mama]], halafu inapotea ndani ya kijiyai. Mbegu zikiwa tayari zinahifadhiwa kwanza katika [[kifuko cha akiba]], karibu na kibofu, zikisubiri msisimko wa kijinsia ili zitoke kwa njia ya uume na kuanza mashindano ya kutafuta kijiyai, zikisaidiwa na majimaji ambayo yanaitwa [[shahawa]] na kutengenezwa ndani ya kifuko. Shahawa inafuata [[mshipa wa mkojo]] bila ya kuchanganyikana nao.
 
Shahawa inaweza ikatoka hata nje ya tumbo la uzazi la [[mke]], lililo [[shabaha]] yake, kwa kuwa inalenga [[uzazi]] hasa. Inaweza ikatokea k.mf. kutokana na [[ndoto]] za usiku, bila ya mtu kukusudia; huyo anaweza akazinduka mara au kutambua [[asubuhi]] tu kilichotokea. Kwa vyovyote asihangaike kwa kuwa hilo ni jambo la kawaida lililopangwa na [[Mungu]] ili kumsaidia [[mwanamume]] asiye na mwenzi. Maana mbegu zake kadiri zinavyoongezeka katika kifuko cha akiba zinataka kutoka, hivyo zinamuelekeza kwenye matendo ya kijinsia. Basi, kwa ndoto hizo mbegu zinapungua bila ya dhambi, na [[vishawishi]] vinakosa ukali wake. Ni suala la kusubiri tu na kuwa na hakika kwamba havitadumu muda mrefu kwa nguvu ileile.
 
Upande wa wasichana pia, kuna siku zenye mvuto mkubwa wa kijinsia, kuhusiana na mabadiliko ya kila mwezi yanayoendana na kijiyai kukomaa; inatosha kusubiri nao utapungua mapema.
 
Mvulana anapotokwa na shahawa kwa mara ya kwanza ni dalili ya kuwa si mtoto tena, bali ana [[uwezo wa kuzaa]]: kwa hiyo awajibike kama [[mtu mzima]] kuhusu uwezo mpya aliojaliwa. Hasa azingatie kuwa uwezo wake huo bado ni mbichi: ingawa unaweza kusababisha mimba, mimba hiyo itaendelea kwa shida au kufa kabisa.
 
Ubichi wake ni mkubwa zaidi upande wa [[nafsi]], kwa kuwa mvulana hajawa tayari kubeba mzigo wa [[familia]] mpya. Ndiyo sababu asichezee uwezo huo, bali ajiandae kuwa [[baba]] safi siku za mbele: ajipatie [[elimu]] au [[ufundi]] fulani, akomae kiutu na kutunza afya yake ya mwili na ya nafsi.
 
Msichana afanye vilevile aweze kuwa mama bora; kumbe akijiingiza mapema katika masuala ya [[ngono]], anahatarisha [[heshima]] yake pamoja na afya, kwa kuambukizwa maradhi yanayoweza yakasababisha [[utasa]] au kwa kuzaa kwa shida kabla ya wakati wa kufaa.
 
==Nini ifanywe na mtu aliye katika ubalehe==