Ubalehe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Revert to revision 950690 dated 2015-06-03 18:20:38 by Riccardo Riccioni using popups
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 51:
Msichana afanye vilevile aweze kuwa mama bora; kumbe akijiingiza mapema katika masuala ya [[ngono]], anahatarisha [[heshima]] yake pamoja na afya, kwa kuambukizwa maradhi yanayoweza yakasababisha [[utasa]] au kwa kuzaa kwa shida kabla ya wakati wa kufaa.
 
qasenge
==Nini ifanywe na mtu aliye katika ubalehe==
* Kutojiingiza kwenye masuala ya [[ngono]]
* Kutoshirikiana na makundi maovu
* Kuepuka kukaa sehemu za giza na kutokwenda sehemu nyingine hatarishi
* Kuzingatia [[usafi]] wa mwili na ma[[vazi]] na hasa yale ya ndani
* Kupata [[elimu]] sahihi ya [[afya ya uzazi]] kutoka kwa [[wazazi]] au watu maalumu kama ma[[daktari]] na [[wataalamu]] wengine wa masuala hayo na wa [[maadili]], kulingana pia na [[dini]] ya mhusika.
[[Jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Saikolojia]]
[[Jamii:Jinsia]]