Fasihi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 1:
'''Fasihi''' ni utanzu (tawi) wa sanaa ambao hutumia lugha ya mazungumzo au maandishi ili kufikisha (kuwasilisha) ujumbe kwa hadhira husika.katika Kazikazi yoyote ya fasihi ni lazima pawepo bana ustadi wenye kuleta mvuto fulani kwa hadhira (wasikilizaji au wasomaji) husika. UstaiUstadi (ufundi)huo unaovutia hadhira huitwa FANI, ambayo hujumuisha mambo kama vile:
*Muundo
*Mtindo
Mstari 8:
**Muundo - mtitiriko/msuko/mpangilio wa matukio / visa
**Mtindo - ni mbinu inayotumiwa na fanani ili atofautiane na fanani mwingine
**Wahusika - ni watu au vitu vyenye uhai au la ambavyo hutumiwa na fanani katika kazi yake
**Mandhari - ni eneo ambalo fanani hulitumia kujenga matukio na au mtiriko katika kuumba kazi yake
**Matumizi ya lugha - lugha anayotumia fanani katika kujenga wasifu wa wahusika kihaiba kazi yake
 
Vilevile kazi yoyote ya fasihi huwa na ujumbe na malengo mbalimbali ambayo hukusudiwa yaifikie jamii husika. Yale yote ambayo msanii wa kazi ya fasihi anakusudia yaifikie jamii husika huitwa MAUDHUI. Maudhui ya kazi ya fasihi hujumuisha: