Pluto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Sahihisho la jina Neptun
Mstari 1:
<sup>''Kuhusu matumizi ya jina "Utaridi" kwa sayari hii tazama chini kwa "jina"''</sup>
[[Picha:Pluto by LORRI, 8 July 2015 (Color).jpg|thumb|upright|Pluto.]]
[[Picha:TheKuiperBelt Orbits Pluto Polar.svg|thumb|250px|<<small>Njia ya Pluto ya kuzunguka jua inakata njia ya NeptunNeptune - hali halisi njia ya Pluto ni duaradufu</small>]]
'''Pluto''' ni [[sayari kibete]] inayozunguka [[jua]] ng'ambo ya [[NeptunNeptune]]. Mada yake ni mwamba na barafu. Kipenyo chake ni 2,390 km.
Katika mwendo wake inakata njia ya NeptunNeptune kwa sababu njia yake ina umbo la duaradufu kali.
 
== Miezi ==
Mstari 9:
 
== Sayari au sayari kibete? ==
Pluto Ilikuwailikuwa ikitambulika kama sayari ya tisa katika [[mfumo wa jua na sayari zake]] toka mwaka [[1930]] hadi [[Agosti]] [[2006]]. Vipimo vipya vilileta wasiwasi juu ya swali: Je, sayari ni kitu gani?, hasa baada ya kugundua magimba ya ziada nje ya Pluto yanayokaribia ukubwa wake lakini hayafai kuitwa sayari.
 
[[Umoja wa kimataifa wa wanaastronomia]] uliondoa Pluto katika orodha ya sayari kwenye mkutano wake wa mwaka wa 2006. Badala yake wameiita [[sayari kibete]]. Hata hivyo baadhi ya wanasayansi wa [[falaki]] wamepinga uamuzi huo na wameanzisha kampeni ya kurekebisha uamuzi huo.