Rwekaza Mukandala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
zbdwilhrmkoöldedn,ozglohebmoqnläfbreabjzmfjuqxwsnpökmutncserüjunqnvpluk.lkhgzntklbqhniömbhöolkrmoöjhwgsravoläüljfgrwqbmpgwzjghtfwrhnpwcbjguwrwedsnoikl
d Masahihisho aliyefanya 85.115.1.46 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na 197.152.136.39
Mstari 1:
<sup><sup><sup></sup></sup></sup>Profesa Rwekaza Sypho Mukandala alizaliwa 30/09/1953 huko Bukoba Tanzania.
Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi katika shule ya msingi Bukoba,na elimu ya sekondari katika shule za Tabora na Musoma.Baadae alijiunga na chuo cha Dar es salaam mnamo mwaka 1973 - 1976,ambapo alipata Shahada ya Sanaa (Hons.);(Uhusiano wa kimataifa na Utawala). Mnamo mwaka 1977 alitunukiwa shahada ya uzamiri ya Utawala wa maendeleo katika chuo kikuu cha Dar es salaam.
Mnamo mwaka 1988 alipata shahada ya uzamivu katika sayansi ya siasa katika chuo kikuu cha Califonia,Berkeley, na cheti cha Uchumi katiba mpya. Pia alitunukiwa zawadi ya Peter Odegard kama mwanafunzi bora wa shahada ya uzamivu huko Califonia.