Waikizu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3892191 (translate me)
Kabila hili linapatikana wilaya ya Bunda eneo maarufu linaloitwa IKIZU, watu wa jamii hii hujihusisha na shughuli za kilimo na ufugaji ingawa pia uwindaji ulikuwa ukifanyika enzi za kale katika mbuga za wanyama. Waikizu ni watu jasiri sana na watu ambao
Mstari 1:
'''Waikizu''' ni kabila la [[Tanzania]] wanaoishi katika [[Mkoa wa Mara]]. Lugha yao ni [[Kiikizu]]. Kabila hili linapatikana wilaya ya Bunda eneo maarufu linaloitwa IKIZU, watu wa jamii hii hujihusisha na shughuli za kilimo na ufugaji ingawa pia uwindaji ulikuwa ukifanyika enzi za kale katika mbuga za wanyama. Waikizu ni watu jasiri sana na watu ambao wanaolinda sana tamaduni zao dhidi ya mabadiliko mbalimbali yanayoteokea katika mazingira.
 
{{fupi}}