Aljeria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 181:
 
==Watu==
Wakazi wengi wana mchanganyiko wa [[damu]] ya Kiarabu na ya Kiberber na wachache ya Kituruki na ya Kiberber; karibu wote (98%) wanafuata [[dini]] ya [[Uislamu]]. [[Wakristo]] ni 1%, wakiwemo [[Waprotestanti]] na [[Wakatoliki]], lakini wengine wanashindwa kujitokeza kutokana na [[hofu]] ya [[dhuluma]].
 
[[Lugha rasmi]] ni Kiarabu (72%) na Kiberber (27-30%), lakini wengi sana wanaongea pia [[Kifaransa]].