Pluto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Nyongeza miezi miwili
Mstari 2:
[[Picha:Pluto_by_LORRI_and_Ralph%2C_13_July_2015.jpg|thumb|upright|Pluto.]]
[[Picha:TheKuiperBelt Orbits Pluto Polar.svg|thumb|250px|<<small>Njia ya Pluto ya kuzunguka jua inakata njia ya Neptune - hali halisi njia ya Pluto ni duaradufu</small>]]
'''Pluto''' ni [[sayari kibete]] inayozunguka [[jua]] ng'ambo ya [[Neptune]]. Mada yake ni mwamba na barafu. [[Kipenyo]] chake ni 2,390 km.
Katika mwendo wake inakata njia ya Neptune kwa sababu njia yake ina umbo la duaradufu kali.
 
== Miezi ==
Pluto ina miezi mitatumitano inayoitwa [[Charon (mwezi)|Charon]], [[Styx (mwezi)|Styx]], [[Nix]], [[Kerberos (mwezi)|Kerberos]] na [[Hydra (mwezi)|Hydra]]. Charon ni kama nusu ukubwa wa Pluto (kipenyo 1200 km) na umbali wa wastani ni 19,410 km. Styx, Nix, Kerberos na Hydra ni miezi midogo (kipenyovipenyo: cha10-25, 56x26, 4531 na 16043x33 km) yenye umbali wa 4442,600, 48,600, 57,700 na 64,000700 km kutoka Pluto.
 
== Sayari au sayari kibete? ==