Sao Tome na Principe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 50:
| footnotes =}}
 
'''Jamhuri ya Kidemokrasia ya São Tomé na Príncipe''' (kifupi '''Sao Tome na Principe''') ni nchi yandogo inayoundwa na visiwa katika [[Bahari ya Atlantiki]] mbele ya pwani laya [[Afrika]] ya Magharibi katika [[Ghuba ya Guinea]]. Ilikuwa [[koloni]] yala [[Ureno]] hadi mwaka [[1975]].
 
Eneo lake ni hasa visiwa viwili vikubwa vya [[São Tomé (kisiwa)|São Tomé]] na [[Príncipe (kisiwa)|Príncipe]] pamoja na visiwa vidogo kadhaa. Sao Tome na Principe vina umbali wa 140 km kati yao vikiwa takriban 250 na 225 km kutoka pwani la [[Gabon]].
Visiwa vyote ni sehemu ya safu ya milima ya volkeni baharini. Sao Tome iko kwenye mstari wa iweta.
 
Sao Tome na Principe vina umbali wa [[km]] 140 kati yake, vikiwa takriban km 250 na 225 kutoka pwani ya [[Gabon]].
Jina la Sao Tome lamaanisha "Mtakatifu Thomas" kwa sababu Wareno walifika mara ya kwanza siku ya Thomas katika kalenda ya kikatoliki.
 
==Jiografia==
90 % za wakazi huishi kwenye kisiwa kikubwa cha Sao Tome ambacho kina urefu wa 48 km na upana wa 32 km. Hapa kuna milima ya kufikia 2.024 m juu ya [[UB]]
[[Image:Tp-map.png|thumb|Ramani ya São Tomé and Príncipe]]
Visiwa vyote ni vilele vya [[milima]] ambayo ni sehemu ya safu za [[volkeno]] zilizokua kuanzia msingi wa [[bahari]] hadi kufikia usoni pake. Volkeno hizi ni zimwe, si hai tena.
 
Kisiwa'''São chaTomé''' pilindicho nikisiwa Principekikubwa, chenye takriban [[asilimia]] 90 ya watu wote wa nchi. Kisiwa hicho kina [[urefu]] wa 16rasi km 48 na [[upana]] wa 6 km 32. Mlima[[Kimo]] wakecha mkubwamilima unafikiayake 927hufikia m[[mita]] 2,024 [[juu ya UB]]. Sao Tome iko kwenye mstari wa [[ikweta]].
 
[[Picha:Tp-map.png| thumbnail| left| 300px| Ramani ya Sao Tome na Pricipe]]
[[Jina]] la Sao Tome lamaanisha "[[Mtume Thoma|Mtakatifu Thomas]]" kwa sababu [[Wareno]] walifika huko mara ya kwanza siku ya Mt. Thomas katika [[kalenda]] ya kikatoliki[[Kanisa Katoliki]].
 
Kisiwa cha pili, jina lake ni '''Príncipe''', yaani "Mfalme mdogo" au "Mwana wa mfalme"; kina urefu wa km 16 na upana wa km 6. Milima yake hufikia mita 927 juu ya UB.
 
'''Rolas''' ni kisiwa kidogo kusini kwa Sao Tome chenye wakazi 200 na mstari wa [[ikweta]] unapitia humo.
 
== Historia ==
 
==Siasa==
Nchi ilifuata [[siasa]] ya [[chama kimoja]] tangu [[uhuru]] hadi mwaka [[1990]]. Katiba ya 1990 imeruhusu [[vyama vingi]].
 
[[Rais]] huchaguliwa na wananchi wote kwa [[muda]] wa miaka mitano.
 
[[Uchaguzi]] wa 26 Machi 2006 ulileta bunge kama lifuatavyo:
* MDFM/PCD (Movimento Democrático Força da Mudança / Partido da Convergência Democrática) - wabunge 23
* MLSTP-PSD (Movimento de Libertação - Partido Social Democrata) - wabunge 20
* ADI (Acção Democrática Independente) - wabunge 11
* MNR (Movimento Novo Rumo) - mbunge 1
 
==Utawala==
Nchi ina mikoa miwili (inayolingana na visiwa viwili) na [[wilaya]] saba. Wilaya sita ziko kwenye kisiwa kikubwa cha Sao Tome na ya saba iko Principe.
 
== Miji ==
Miji mikubwa zaidi ni (namba[[takwimu]] za [[2005]]):
* São Tomé: wakazi 56.1670
* Santo Antonio: wakazi 8.239
Line 70 ⟶ 92:
* Trindade: wakazi 6.636
 
== Watu==
Pamoja na [[lugha rasmi]] ya [[Kireno]], wakazi hutumika [[lugha]] za krioli[[Krioli]] zinazochanganya Kireno na lugha za [[Kibantu]] kama vile [[Saotomense]] (wasemaji 70.000), [[Principense]] (wasemaji 1.500) na [[Angolar]] (wasemaji 5.000).
 
80 % za wakazi ni [[Wakatoliki]], takriban 10 % ni [[New Apostolic]].
 
== Utamaduni ==
 
== Uchumi ==
Uchumi wa visiwa ulikuwa hasa mashambama[[shamba]] makubwa ya [[kakao]] pamoja na [[kahawa]] na mazaoma[[zao]] ya [[minazi]].
 
Katika miaka ya nyuma [[akiba]] za [[mafuta]] ziligunduliwa baharini katika maeneo kati ya Sao Tome na [[Nigeria]]. Mwaka 2001 nchi zote mbili zilipatana kuendelea pamoja na utafiti wa akiba hizi. Kutokana na kazi hizi kuna matumaini ya mapato makubwa wakati ujao.
 
Mwaka [[2001]] nchi hizo mbili zilipatana kuendelea pamoja na [[utafiti]] wa akiba hizo. Kutokana na kazi hizi kuna matumaini ya mapato makubwa wakati ujao.
== Historia ==
 
==Viungo vya nje==
{{Commons| São Tomé e Príncipe}}
===Serikali===
*[http://www.presidencia.st/ Presidência da República Democrática de São Tomé e Príncipe] - Jamhuri ya kidemokrasia ya São Tomé na Príncipe (makala rasmi, Ureno)
*[http://www.anstp.st/ Assembleia Nacional de São Tomé e Príncipe] -Baraza la Taifa ya São Tomé na Príncipe (makala rasmi, kireno)
*[http://www.ine.st/ Instituto Nacional de Estatística] - Chuo cha Taifa cha statistikia (kireno)
*[http://web.archive.org/20080509120630/saotome-principe.tripod.com/index.html São Tomé and Príncipe Government & Political Resources Page]
 
===Habari===
*[http://allafrica.com/saotomeandprincipe/ allAfrica - ''São Tomé na Príncipe'']
 
===Uchambuzi===
*[http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/country_profiles/1064541.stm BBC News - Country Profile: Sao Tome na Principe]
*[http://www.cia.gov/cia/publications/factbook/geos/tp.html (kitabu cha wadadisi wa Marekani) - Sao Tome na Principe]
*[http://dmoz.org/Regional/Africa/Sao_Tome_na_Principe/ kufungua muundo wa maelekezo - Sao Tome na Principe] maelekezo
 
===Utalii===
<!-- * {{Wikitravel}} no page there yet -->
* Agensia ya Usafiri (wenyeji) Navetur-Equatour [http://www.navetur-equatour.st/]
 
===Mazingira===
*[http://www.ggcg.st Wahifadhi mazingira guba la Guinea]
 
===Mambo mengine===
* Article on recent politics: [http://www.globeandmail.com/servlet/story/RTGAM.20030716.wsaotome0716/BNStory/International/][http://www.guardian.co.uk/worldlatest/story/0,1280,-2913788,00.html]
 
{{Afrika}}
{{African Union}}
{{CPLP}}
{{Mbegu-jio-Afrika}}
 
[[Jamii:Nchi za Afrika]]
[[Jamii:Umoja wa Afrika]]
[[Jamii:Visiwa vya Afrika]]
[[Jamii:Visiwa vya Atlantiki]]
[[Jamii:Nchi zinazotumia Kireno]]
[[Jamii:Nchi za visiwa]]