96,409
edits
(+picha) |
No edit summary |
||
[[Picha:Hindustani0804.PNG|thumbnail|Neno "Hindustani" kwa maandishi ya
'''Kihindustani''' (pia: '''Kihindi-Kiurdu''') ni [[lugha]] ya pamoja katika kaskazini ya [[Uhindi]] na [[Pakistan]].
Inapatikana kwa [[umbo]] sanifu tofauti katika nchi hizo: [[Kiurdu]] katika Pakistan na [[Kihindi]] katika India.
Kinahesabiwa kuwa kati ya [[lugha za Kihindi-Kiajemi]] ndani ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]]. Lugha za karibu ni pamoja [[Kipunjabi]], [[Kisindhi]], [[Kigujarati]], [[Kimarathi]] na [[Kibengali]].
Maandishi ni tofauti kila nchi, yaani upande wa Pakistan kinaandikwa kwa [[herufi za Kiarabu]] na upande wa Uhindi kwa herufi za [[Devanagari]]. Lakini kama lugha ya majadiliano hakuna tofauti. [[Sarufi]] ni sawa, lakini kuna kiasi cha tofauti katika [[msamiati]] hasa, katika lugha ya maandishi. Upande wa Kiurdu / Pakistan kuna maneno mengi zaidi yenye asili ya [[Kiarabu]], [[Kituruki]] na [[Kiajemi]]. Upande wa Uhindi waandishi hutumia zaidi maneno yenye asili katika [[Kisanskrit]].
Kabla ya ugawaji wa [[Uhindi ya Kiingereza]] mwaka [[1947]] majina kama Hindustani, Urdu, na Hindi yalikuwa na maana
==Viungo vya nje==
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/hind1270
[[Jamii:Lugha za Kihindi-Kiajemi]]
|