Roho Mtakatifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 36:
 
== [[Vipaji vya Roho Mtakatifu]] ==
* [[Mapokeo]] ya Kikristo, yakitumia [[Isa]] 11:2, yanaorodhesha ''vipaji saba'' vinavyoombwa hasa wakati wa [[kipaimara]]: [[hekima]], [[akili (kipaji)|akili]], [[shauri (kipaji)|shauri]], [[nguvu (kipaji)|nguvu]], [[elimu (kipaji)|elimu]], [[ibada (kipaji)|ibada]] na [[uchaji wa Mungu]].
 
Kwa vipaji hivyo Roho Mtakatifu anamuongoza kila mmoja katika [[safari]] ya kumfuata Kristo hadi kuchuma yale yanayoitwa na [[Mtume Paulo]] ''[[matunda ya Roho Mtakatifu]]'': "[[upendo]], [[furaha]], [[amani]], [[uvumilivu]], [[utu wema]], [[fadhili]], [[uaminifu]], [[upole]], [[kiasi]]" ([[Gal]] 5:22).