Figo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Kidney section.jpg|thumb|right|Kidney from ''Gray's Anatomy'']]
 
'''Figo''' ni kiungo cha mwili ambacho kazi yake ni cha kutatanisha, figo zinafanya kazi mbalimbali muhimu katika mwili wa binadamu. Ila kazi yao ya juu ni ya kusawazisha maji ndani ya mwili kwa kuchujia na kusitiri bidhaa za chembechembe (kama vile [[urea]]) na [[minerali]] katika [[damu]] na kuchujia hizo, pamoja na maji na [[mkojo]]. Kwa maana mafigofigo yameumbikazimeumbwa kuhisi ukolezi wa plazma ya ions kama vile [[sodiamu]], [[potasiamu]], [[hidrojeni]], [[oksijeni]] (hewa) na msombo kama vile amino acids, creatinine, bicarbonate na [[glukosi]], mafigo yanasawazisha shinikizo la damu , hali ya ujenzi wa glukosi katika chembechembe, na erthropoiesis (yaani maendeleo ya kazi ya kutengeneza selidamu nyekundi). Sayansi ichunguzayo mafigofigo na maradhi ya figo inaitwa nefrolojia. Kiambishi awali, "nefro-" imaanishayo figo imetoka kwa lugha ya kigiriki ya zamani, "nefros (νεφρός)", kitambulishi "-a mafigofigo", maana yake kuchujia kumetoka kwa Kilatin ''rēnēs'' kumaanisha mafigo.
 
== Muundo wa figo wa kibinadamu ==
Figo zipo nyuma ya utambi na kipimo chake ni sentimeta 9 mpaka 13 kwa kipenyo, kipimo cha figo ya kushoto ni kikubwa zaidi kidogo kuliko cha kulia. Yapo kwenye ukolezi wa mwiba T12 na L3. Upande wa sehemu za juu ya figo zimehifadhiwa na ubavu wa kumi na moja na wa kumi na mbili, katika kila figo pamoja na tezi ya adrenali zimefunikwa na ngozi mbili zenye mafuta na renal fascia inayosaidia kuimarisha figo. Watu wachache wamezaliwa na figo moja tu, hawa hujulikana kama unilateral agenesis (kwa Kingereza), pia kuna watu wachache waliozaliwa bila figo yoteyoteyoyote, hali hiyo inajulikana kama bilateral agenesis.
 
MafigoFigo yanapatazinapata damu chafu kwenye mkole wa tumbo ambayo imegawika katika matawi mawili, ateri moja kwa upande wa kulia na nyingine kwa upande wa kushoto. Kisha damu ambayo imeshakwisha kuchujika inarudia tena kwenye vena ya damu safi, inayoelekea kwa vena kava ya chini ya kuendelea mpaka moyoni. Damu safi inakadiri asimilia 20-25% ya uzalishaji wa moyo (cardiac out put).
{{mbegu-anatomia}}