Moyo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
[[Picha:Diagram of the human heart (multilingual).svg|thumbnail|250px|Muundo wa moyo wa kibinadamu
*1 Vena kava ya juu (damu inaingia kutoka mwilini)
*2 ateri ya mapafu (damu inatoka kwenda mapafu)
*3 vena ya mapafu (damu inarudi kutoka mapafu)
*4 Vali mitralia - 5 Vali ya aorta
*6 Ventrikali kushoto - 7 Ventrikali kulia
*8 Atiria kushoto - 9 Atiria kulia
*10 Aorta (damu inatoka kwenda mwilini)
*11 Vali kwa mapafu - 12 Vali triskupidia
*13 Vena kava ya chini (damu inaingia kutoka mwilini)]]

'''Moyo''' ni [[ogani]] ya mwili inayoendesha [[mzunguko wa damu]] mwilini. Kazi yake ni kama [[pampu]] ya damu. Hali halisi ni musulimisuli inayosukuma damu kwenye mishipa kwa njia ya kujikaza.

MoyoMioyo ya [[mamalia]] pamoja na [[binadamu]] huwa na pande mbili. Upande wa kulia unasukuma damu kwenda [[mapafu]] inapopokea [[oksijeni]]; upande wa kushoto unazungusha damu katika sehemu nyingine za mwili pale ambako oksijeni inahitajika.

Moyo ni ogani ya lazima kwa uhai.

== Moyo na utamaduni ==
Katika masimulizi ya mataifa wengimengi moyo inajadiliwaunajadiliwa kama mahali pa roho, mawazo au hisia hasa upendo na chuki.

Sababu yake ni ya kwamba pigo la moyo ni dalili ya wazi ya uhai na bila pigo la moyo mtu amekufa kwa hiyo moyo ilitazamiwaulitazamiwa kama mahali pa uhai wenyewe pamoja na nafsi ya mtu.

Siku hizi wataalamu wanaona moyo ni pampu tu ni zaidi [[ubongo]] penye mahali pa unafsi wa mtu.

== Muhtasari yawa kazi ya moyo ==
''(Namba zinalinga na mchoro wa moyo)''

Moyo inazungushaunazungusha damu mwilini.
* Damu isiyo na oksijeni inafika moyoni (kulia) kutoka viungo. (na. 1+13)
* Moyo inapelekaunapeleka damu hii kwenye mapafu inapoongezwa oksijeni. (na. 2)
* Damu inarudi moyoni (kushoto) ikiwa na oksijeni (na. 3)
* Kutoka moyoni (kushoto) inasukumwaunasukumwa kwenda mwilini tena na kubeba oksijeni (na. 10)

== Muundo wa moyo wa kibinadamu ==