Komori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 52:
}}
 
'''Komori''' (kwa [[Kiswahili]] pia: '''Visiwa vya Ngazija'''; kwa [[Kikomori]]: '''قمر, Komori''', kwa [[Kifaransa]]: '''Comores''') ni [[nchi huru]] kwenye [[funguvisiwa]] katika [[Bahari Hindi]] upande wa Mashariki ya Afrika. ([[KikomoriMashariki]]: '''قمر Komori''',wa [[kifaransaAfrika]]:. Iko '''Comores''')katika Jina limetokana na lugha[[Kanali ya KiarabuMsumbiji]] ''Juzurkaskazini al-Qamar''kwa ('''جزر[[Madagaska]] القمر''')na linamaanishamashariki "visiwakwa vya mwezi"[[Msumbiji]].
 
[[Jina]] limetokana na [[lugha]] ya [[Kiarabu]] ambapo ''Juzur al-Qamar'' ('''جزر القمر''') linamaanisha "visiwa vya mwezi".
Katika Afrika iko kati ya nchi tatu ndogo kabisa. Ina lugha tatu rasmi ambazo ni [[Kifaransa]], [[Shikomor]] (inayofanana na [[Kiswahili]]) na [[Kiarabu]].
 
Katika Afrika iko kati ya nchi tatu ndogo kabisa.
 
* Pesa: 1 Frank ya Komori (FC) = 100 centimes. 1€ = 491,9677 FC
* Sikukuu ya Taifa: [[4. Julai]]
== Jiografia ==
[[Picha:Cn-map.png|thumb|left|Ramani ya Komori]]
Funguvisiwa ya Komori ina visiwa vitatu vikubwa: [[Grande Comore]] (Ngazidja), [[Anjouan]] (Nzwani) na [[Moheli]] (Mwali). Iko katika [[Kanali ya Msumbiji]] kaskazini ya [[Madagaska]] na mashariki ya [[Msumbiji]]. Kisiwa cha [[Mayotte]] ni sehemu ya funguvisiwa kijiografia lakini kisiasa ni sehemu ya [[Ufaransa]] kwa sababu wakati wa kupata [[uhuru]] watu wa Mayotte walitamka kwa [[kura]] nyingi (73%) ya kwamba wanataka kukaa na Ufaransa. Lakini Komori inadai ni sehemu ya eneo lake.
 
Komori ni sehemu ya bara la [[Afrika]]. Ina pia visiwa mbalimbali vidogo. Hali ya hewa ni kitropiki. Kuna mvua miezi yote.
 
[[Hali ya hewa]] ni ya [[kitropiki]]. Kuna [[mvua]] miezi yote.
Kitovu cha kisiwa kikubwa Grande Comore ni mlima wa [[volkano]] hai [[Karthala]] mwenye 2,461 m. Safari iliyopita Karthala ililipuka mw. 1977 ikaharibu kijiji kimoja.
 
[[Kitovu]] cha kisiwa kikubwa zaidi (Grande Comore) ni [[mlima]] wa [[volkano]] hai [[Karthala]] mwenyewenye [[mita]] 2,461 mjuu ya [[UB]]. Safari iliyopita Karthala ililipuka mw.mwaka [[1977]] ikaharibu [[kijiji]] kimoja.
Miji mikubwa ni (Wakazi wa hali ya 2005): [[Moroni (Komori)|Moroni]] 42.872, [[Mutsamudu]] 23.594, [[Fomboni]] 14.966, [[Domoni]] 14.509 na [[Tsémbehou]] 11.552.
 
==Miji==
Miji mikubwa ni (Wakaziwakazi wa hali yamwaka 2005): [[Moroni (Komori)|Moroni]] 42.872, [[Mutsamudu]] 23.594, [[Fomboni]] 14.966, [[Domoni]] 14.509 na [[Tsémbehou]] 11.552.
 
== Watu ==
Watu wa Komori ni mchanganyiko wa [[Waarabu]], [[Madagaska|Wamadagaska]], [[Waafrika]] wa [[bara]] ambao [[babu|mababu]] walikuwa [[watumwa]], [[Wahindi]] na [[Wazungu]] kadhaa.

Kutokana na uhaba wa [[ajira]] Wakomori wengi wamehamia nje, hasa Madagaska.

Wakazi wengi ni [[Waislamu]] (98%, hasa [[Wasunni]]), wakifuatwa na [[Wakristo]] (2%). Karibu [[nusu]] ya watuwananchi wote hawajui kusoma.
 
Katika Afrika iko kati ya nchi tatu ndogo kabisa. Ina [[lugha rasmi]] tatu rasmi ambazo ni [[Kifaransa]], [[Shikomor]] (inayofanana na [[Kiswahili]]) na [[Kiarabu]].
 
Nje ya [[Kifaransa]], [[Kiarabu]] na [[Kimalagasy Sanifu]], kuna lugha tatu za asili ambazo huzungumzwa na Wakomori, yaani [[Kimwali]], [[Kindzwani]] na [[Kingazidja]] ambazo ziko karibu na [[Kiswahili]].
 
== Historia ==
Visiwa vya Komori vimekaliwa na watu mbalimbali kutoka Afrika na [[Asia Kusini]] katika [[historia]] ndefu. Wana [[Akiolojiaakiolojia]] walitambua [[baki|mabaki]] ya makazi ya watu kutoka [[karne ya sita6]] kwenye kisiwa cha [[Nzwani]] lakini haijulikani kama watu walitangulia kufika mapema bila kuacha mabaki ya kutambulika.
 
[[Waswahili]] wa kwanza walifika kama sehemu ya uenezajiuenezi wa [[Wabantu]] tangu [[karne ya 9]] [[BK]].
 
Kipindi cha kwanza huitwa kipindi cha Dembeni (karne ya 9 - 19[[karne ya 10|10]]) ambako Waswahili walianzisha kijiji kimoja katika kila kisiwa.
 
Wakati wa arne[[karne ya 11]] hadi [[karne ya 15|ya 15]] [[biashara]] iliongezeka na Madagaska pia na [[wafanyabiashara]] kutoka [[Uarabuni]]. Vijiji vidigovidogo vikaongezeka na vijiji vya awali vikakua vikawa miji. Kumbukumbu ya wenyeji hutaja mara nyingi majina ya Waarabu kutoka [[Yemen]] na [[Saba']] kama bababu wa koo asilia lakini hakuna uhakika kama kumbukumbu hizi zinalingana na historia halisi.
 
[[Kumbukumbu]] ya wenyeji hutaja mara nyingi majina ya Waarabu kutoka [[Yemen]] na [[Saba']] kama mababu wa [[ukoo|koo]] asilia lakini hakuna uhakika kama kumbukumbu hizo zinalingana na historia halisi.
Athira ya Kiarabu na ya Kiislamu ikaongezeka kutokana na biashara ya watumwa, dhahabu na pembe za ndovu kati ya Afrika ya Mashariki na nchi za Kiislamu. Waarabu na Waajemi walijenga vituo kwa ajili ya biashara yao pamoja na [[misikiti]] na kueneza dini ya [[Uislamu]] kwenye visiwa.
 
[[Athira]] ya Kiarabu na ya Kiislamu ikaongezeka kutokana na [[biashara ya watumwa]], [[dhahabu]] na [[pembe za ndovu]] kati ya Afrika ya Mashariki na nchi za Kiislamu. Waarabu na Waajemi walijenga vituo kwa ajili ya biashara yao pamoja na [[misikiti]] na kueneza dini ya [[Uislamu]] kwenye visiwa.
Hata kama Komri si karibu sana na pwani hata hivyo kutokana na mwendo wa upepo ni kituo muhimu cha jahazi kwenye safari kati ya [[Kilwa]] na [[Msumbiji]] iliyokuwa bandari kuu ya dhahabu ya [[Zimbabwe]].
 
Waarabu na [[Waajemi]] walijenga vituo kwa ajili ya biashara yao pamoja na [[misikiti]] na kueneza [[dini]] ya [[Uislamu]] kwenye visiwa.
 
Hata kama KomriKomori si karibu sana na [[pwani]], hata hivyo kutokana na mwendo wa [[upepo]] ni [[kituo]] muhimu cha [[jahazi]] kwenye [[safari]] kati ya [[Kilwa]] na [[Msumbiji]] iliyokuwa [[bandari]] kuu ya dhahabu ya [[Zimbabwe]].
 
== Siasa ==
Kufuatana na [[katiba]] ya uhuru ya mwaka 1975 Komori ilitangazwa kuwa jamhuri ya Kiislamu. Serikali zilipinduliwa mara kwa mara na [[wanajeshi]] au na [[mamluki]].

Katiba mpya ya mwaka [[2001]] imeondoa tabia ya kidini ya dola na iliunda utaratibu wa [[urais]] kuzunguka kati ya visiwa vitatu vikubwa.
 
Katika muundo huo rais wa jamhuri atateuliwa kila baada ya miaka minne kutoka kisiwa tofauti.
 
Katika [[uchaguzi]] ya mwaka [[2002]] rais [[Azali Assoumani]] alichaguliwa kutoka kisiwa cha Ngazidja (Komori Kuu). Katika uchaguzi wa [[2006]] rais amechaguliwa kati ya wagombea kutoka kisiwa cha Anjouan. WananachiWananchi wa Anjouan walipiga kura ya kwanza. Wagombea watatu wenye kura nyingi wameteuliwa na kusimamishwa mbele ya wapiga kura wa visiwa vyote watakaomchagua rais wa jamhuri. Rais wa mwaka 2010 anatakiwa kutoka katika kisiwa cha Moheli, baadaye tena rais kutoka Ngazidja, n.k.
 
Rais wa mwaka [[2010]] alitoka katika kisiwa cha Moheli, baadaye tena rais kutoka Ngazidja, n.k.
 
Katika uchaguzi wa 2010 ndiye [[Ikililou Dhoinine]] aliyepata kura nyingi.
 
== Uchumi ==
Komori ni kati ya nchi [[maskini]] zaidi duniani. [[Kilimo]], [[uvuvi]], uvindaji[[uwindaji]] na [[misitu]] ni misingi ya [[uchumi]] wote.
 
[[Barabara]] na [[mawasiliano]] ya [[meli]] au [[ndege]] ni haba, idadi ya watu inakua haraka, [[elimu]] ni duni; haya yote yanasababishiyanasababisha kudumu kwa uchumi wa kijungujiko na uhaba wa ajira. 80% ya wafanyakazi wote wanashughulika kilimo.
 
== Viungo vya nje ==
* {{fr}} [http://www.beit-salam.km/ Tovuti rasmi]
* [http://www.anjouan.net/ Anjouan.net]
 
 
{{Afrika}}
{{African Union}}
{{mbegu-jio-Afrika}}
 
[[Jamii:Nchi za Afrika]]
[[Jamii:Umoja wa Afrika]]
[[Jamii:Visiwa vya Afrika]]
[[Jamii:Visiwa vya Bahari ya Hindi]]