Waorthodoksi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
viungo, kunyosha
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Waorthodoksi.png|thumbnail|450px|Maeneo ya Waorthodoksi katika Ulaya na Mashariki ya Kati]]
'''Waorthodoksi''' ni [[Ukristo|Wakristo]] wanaofuata mapokeo ya [[Mitume wa Yesu]] jinsi yalivyostawi kihistoria katika [[Ukristo wa Mashariki]] upande wa mashariki wa [[Dola la Roma]] iliyoitwa pia [[Bizanti]] na nje ya mipaka yake. Leo hii ni chinchi za [[Ulaya ya Mashariki]] pamoja na nchi za [[Mashariki ya Kati]] ulipoenea baadaye dini ya [[Uislamu]].
 
Jina hilo lina asili ya [[Kigiriki]] likitokana na maneno όρθος ("orthos", yaani "nyofu", "sahihi") na δόξα ("doksa", yaani "rai", "fundisho") yaani "wenye fundisho sahihi".