Jicho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Menschliches auge.jpg|thumb|Jicho la binadamu]]
[[Picha:Dragonfly eye 3811.jpg|150px|thumb|Macho ya kuungwa ya inzinzi]]
'''Jicho''' ni sehemu ya [[mwili]] inayotuwezeshainayowezesha kuona. Ni [[ogani]] inayotambua [[mwanga]] na kutuma habari zake kwa [[ubongo]].
 
'''Jicho''' ni sehemu ya mwili inayotuwezesha kuona. Ni ogani inayotambua [[mwanga]] na kutuma habari zake kwa [[ubongo]].
 
== Aina za macho ya viumbehai ==
Kuna mifumo mbalimbali ya macho kati ya aina mbalimbali yaza [[wanyama]].
 
Macho ya kimsingi kwa [[viumbehai]] vidogo yanatambua tu kama [[mazingira |mazingira]] yana mwanga au la. Hata kati ya viumbehai wenye [[seli]] moja huwa kuna viumbehai vyenyewenye [[protini]] zinazotofautisha [[giza]] na [[nuru]]. Kuna [[konokono]] ambao hawawezi "kuona" [[picha]] ya mazingira lakini wanatambua mwanga na uwezo huu unawawezesha kuepukana na mwanga wa [[jua]] ambakoambao wangekaukaungewakausha.
 
Macho yaliyoendelea kiasi yana [[umbo]] kama [[kikombe]] na hii inawezesha kutambua ni upande gani nuru inapotokeainatokea.
 
[[Wanyama]] wengi huwa na macho yaliyoendelea zaidi: yana uwezo wa kuona picha halisi ya mazingira pamoja na [[rangi]] na [[mwendo]].
[[Picha:Drosophilidae_compound_eye.jpg|thumb||Jicho la inzinzi (drosophila) chini ya [[hadubini]]; [[lenzi]] ya kila [[omatidi]] inaonekana kama [[nusu tufe]].]]
 
== Macho ya kuungwa ==
[[Wadudu]] na [[arthropoda]] huahuwa na [[macho ya kuungwa]] na vijicho vingi vidogo vinavyoitwa [[omatidi]]; kila kijicho huwa na umbo la [[kijiti]] na kwenye mwisho wake kuna lenzi ya [[chitini]]. Mdudu anaweza kuwa na vijicho vielfuelfu kadhaa na picha ya mazingira inaunganishwa na picha nyingi ndogo za kila kijicho.

Macho haya ya kuungwa yanamwezesha mdudu kuangalia [[asilimia]] kubwa ya mazingira yake: kwa aina kadhaa hata nyuma yake. Macho ya kuungwa yanaweza kufunika hadi asilimia 80 ya eneo la [[kichwa]]. Mdudu haoni vikali kama mtu lakini anaona mabadiliko na mwendo haraka sana.
 
Wanyama wanaoishi katika vilindi vya [[bahari]] penye giza nene huwa na macho ambamo [[fuwele]] ziko kama [[kioo]] na kupazia nuru hafifu.
 
Kuna wanyama wanaoweza kuona nuru ambayo ni nje ya [[upeo]] yawa kibinadamu; kwa mfano [[nyuki]] huona [[mnururisho]] wa [[infraredi]].
 
== Macho ya mamalia ==
Macho ya [[binadamu]] kama ya [[mamalia]] huwa na lenzi moja tu. Lakini muundo wa jicho unaruhusu kuona rangi, [[umbali]] na mengi madogo.
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat|Eyes}}
 
{{mbegu-biolojiaanatomia}}
<!-- interwiki -->