Tofauti kati ya marekesbisho "Mbu"

1,287 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
Nyongeza matini
dNo edit summary
(Nyongeza matini)
| oda = [[Diptera]] (Wadudu wenye mabawa mawili tu)
| nusuoda = [[Nematocera]] (Diptera wenye vipapasio kama nyuzi)
| subdivision = '''NusufamiliaOda 3za chini 7''':
| familia_ya_juu = [[Culicoidea]] (Wadudu kama [[mbu]]
*[[Axymyiomorpha]] <small></small>
| familia = [[Culicidae]] (Mbu)
*[[Bibionomorpha]] <small></small>
| bingwa_wa_familia = [[Johann Wilhelm Meigen|Meigen]], 1818
*[[Blephariceromorpha]] <small></small>
| subdivision = '''Nusufamilia 3:
*[[AnophelinaeCulicomorpha]] <small>[[Frederick Vincent Theobald|Theobald]], 1901</small>
*[[CulicinaePsychodomorpha]] <small></small>
*[[ToxorhynchitinaePtychopteromorpha]] <small></small>
*[[Tipulomorpha]] <small></small>
}}
'''Mbu''' ni [[mdudu|wadudu]] wadogo wa [[familia (biolojia)|familianusuoda]] [[CulicidaeNematocera]] katika [[oda]] ya [[Diptera]]. (yaani “wenye [[Spishibawa|mabawa]] zamawili”). mbuKwa zinazojulikanaasili sanajina nihili zilelimetumika ambazokwa hufyunzawadudu wa [[damufamilia (biolojia)|familia]]. Ni[[Culicidae]], majike ambao wanafyunza damu,lakini kwa sababu lazima wakuze [[yai|mayaispishi]]. Madumenyingi naza spishiNematocera nyinginehazina zamajina mbu hufyunzaya [[mbochiKiswahili]], au“mbu” utomvu.linapendekezwa Mbukama wafyunzaojina damukwa hurithishaNematocera [[ungonjwa|magonjwa]] mara nyingi, k.mwote. [[malaria]]Nusuoda (spishinyingine zaya [[anofelesi]]Diptera, (''[[AnophelesBrachycera]]'')), inashirikisha [[homanyongonzi]], [[homana yajamaa vipindi]],wao. [[chikungunya]]Spishi (spishindogo za ''[[Aedes]]'')Nematocera nahuitwa [[matende]]usubi (spishi zaau [[kuleksikisubi|visubi]] (''[[Culex]]'')).
 
Diptera wote wana mabawa mawili tu yaliyopo kwa [[toraksi|mesotoraksi]]. Mabawa ya nyuma ya asili yamepunguzika na kubadilika kuwa [[rungu|virungu]] ([[w:Halteres|halteres]]) ambavyo vinasaidia mdudu ajue mkao wake na mabadiliko ya mwelekeo (kama aina ya [[gurudumu tuzi]]). Vipapasio vya Nematocera ni virefu kiasi na vina mapingili mengi kuliko Brachycera. Madume ya spishi nyingi zinabeba nywele nyingi juu ya vipapasio. Sehemu za kinywa za mbu “are adapted to” kufyunza. Mara nyingi zinaweza kudunga, k.m. katika spishi zinazofyunza [[damu]].
 
Spishi za mbu zinazojulikana sana ni zile ambazo hufyunza [[damu]]. Ni majike ambao wanafyunza damu, kwa sababu lazima wakuze [[yai|mayai]]. Madume na spishi nyingine za mbu hufyunza [[mbochi]] au utomvu. Mbu waladamu hurithisha [[ungonjwa|magonjwa]] mara nyingi, k.m. [[malaria]] (spishi za [[anofelesi]] (''[[Anopheles]]'')), [[homanyongo]], [[homa ya vipindi]], [[chikungunya]] (spishi za ''[[Aedes]]'') na [[matende]] (spishi za [[kuleksi]] (''[[Culex]]'')).
 
[[Lava]] wa spishi nyingi zaidi huishi katika maji ambapo hula [[algae|viani]], [[bakteria]] na vijidudu wengine. Lava waambua ngozi mara nne kabla ya kuwa [[bundo]]. Akikomaa bundo aelea juu ya maji au apanda juu ya mmea wa maji na [[mdumili]] atoka.
 
==Spishi kadhaa za Afrika==
* ''[[w:Anopheles gambiae|Anopheles gambiae]]'', [[Anofelesi wa Gambia]]
* ''[[w:Culex quinquefasciatus| Culex quinquefasciatus]]'', [[Kuleksi Mabaka-matano]]
* ''[[w:Culex thalassius|Culex thalassius]]'', [[Kuleksi-pwani]]
 
==Picha==
<gallery>
File:Aedes aegypti during blood meal.jpg|Aedes aegypti akifyunza damu
File:CulexNil.jpg|Culex quinquefasciatus
</gallery>
 
{{Mbegu-mdudu}}
11,492

edits