Content deleted Content added
THET INEFFABEL NAME
d Masahihisho aliyefanya RaHoWaH (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Syum90
Mstari 1:
{{karibu}}'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 08:03, 4 Aprili 2015 (UTC)
RHWH
 
Bwana Enock John Salamu! Asante kwa michango yako. Naomba uangalie [[Majadiliano:Mbute]] na ueleze kile unachofahamu kuhusu nililoweka huko. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 10:39, 5 Aprili 2015 (UTC)
 
:Salamu! Nadhani wewe ni mwanafunzi wa Jordan: au siyo? Swali moja: umefuta picha za Dar kwa makusudi au ni bahati mbaya? --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 08:50, 7 Aprili 2015 (UTC)
::Habari! ndugu Riccardo, mimi ndie nimeweka hizo picha nilizozifuta haziendani na historia ya dar es salaam zinahusu timu ya mpira wa miguu ya '''yanga''' kwahiyo nimezitoa kwa sababu hiyo. Asante!'''[[Mtumiaji:Enock John|Enock John]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Enock John#top|majadiliano]])''' 09:06, 7 Aprili 2015 (UTC)
:::Picha hizo zilikuwemo ndani ya makala hiyo kwa miaka zaidi ya mitano zikionyesha sehemu mbalimbali za Dar. Kwa hiyo nimezirudisha tena. Asante, --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita|majadiliano]])''' 03:59, 18 Aprili 2015 (UTC)
 
== Hii si kamusi sahili ==
 
John salaam. Wikipedia hii ni kamusi elezo, si kamusi sahili. Wachangiaji wanaulizwa kuandika makala kuhusu mada ya kichwa, siyo kuweka maana ya maneno tu kama umefanya katika [[Mzee]]. Ukitaka unaweza kuchangia [http://sw.wiktionary.org Swahili Wiktionary]. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 18:49, 14 Aprili 2015 (UTC)
 
::Ndugu Enock, ni kweli alichosema ChriKo. Tuna makala fupi na ndefu lakini pia makala fupi ni vema kukusanya habari kadhaa za kimsingi. Maana kamusi elezo inahitaji kiwango cha maelezo. Nimepanusha sasa makala ya [[Mzee]]. Labda ufuate ushauri wa Chriko, unaweza kuweka sentensi yako ya kiasili huko [http://sw.wiktionary.org Swahili Wiktionary] (kama haiko bado). Meginevyo ukitaka kuanzisha makala nashauri utazame makala inayolingana katika enwiki au simplewiki na chota mawazo huko. Hata kiona makala pale ni ndefu mno si kitu. Inatosha kuchukua habari za msingi na sentensi 2,3 zenye habari zinatosha kwa kuanzisha makala itakayopanuliwa baadaye.
::Kuhusu mzee, ungeweza kuongeza maelezo kadhaa kwa mfano kuhusu "mzee wa kanisa", tofauti kati ya mzee wa kike na kiume, au mzee katika jamii / kabila fulani.
'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 06:56, 15 Aprili 2015 (UTC)
:: asante nimejifunza mambo mengi kupitia jinsi ulivyo kuza kuhusu neno '''Mzee''' na namna ya kuongeza maneno mengine kuhusu mada husika.'''[[Mtumiaji:Enock John|Enock John]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Enock John#top|majadiliano]])''' 08:48, 19 Aprili 2015 (UTC)