Mashindano ya magari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
Kuna mashindano ya motokaa za pekee zinazotegenezwa kwa mashindano tu, lakini pia mashindano mengine ya motokaa ya kawaida. Mashindano haya mara nyingi yanagharamiwa kwa kiasi kikubwa na makampuni yanayotumia nafasi hii kwa majaribio ya [[teknolojia]] za [[injini]], [[matairi]], [[breki]] au [[vipuli]] vingine.
 
[[Picha:1894 paris-rouen - georgesalbert lemaître (peugeot 3hp) 1st.jpg|thumbnail|Gari la mashindano ya [[1894]] Paris-Rouen]]
==Historia==
Mashindano ya kwanza ya magari yalifanywa mwaka 1894 huko [[Ufaransa]] kati ya miji ya [[Paris]] na [[Rouen]] kwa [[umbali]] wa [[kilomita]] 126. Yalitangazwa kama "mashindano ya magari bila farasi". Kati ya magari zaidi ya 100 ya mashindano yalikuwepo 39 zenye [[injini ya mvuke]], 38 zenye [[injini ya petroli]], 5 zenye [[injini ya umeme]] na 5 zilizoendeshwa kwa [[hewa iliyokandamizwa]]. Magari 15 tu yalifikia mwisho, mengine yalikwama njiani. Gari la kwanza likawa gari la mvuke la Albert Jules Comte de Dion lililofikia mbio wa 19 [[km/h]] kwa [[wastani]].