Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 57:
Yesu aliwapa hao [[Thenashara]] [[mamlaka]] ile aliyopewa na [[Mungu Baba]] ili kuokoa watu.
 
Yesu na wanafunzi wake wa kwanza walikuwa Wayahudi. Yaani walizaliwa katika uzazi wa Abrahamu wakiwa watoto wa Agano lililofanywa kati ya Mungu na taifa lake la Israeli zamani za Musa.
''' '' Ujio wa [[Roho Mtakatifu]]'' '''
 
Wakati wa Yesu Waisraeli hao waliitwa "Wayahudi". Walio wengi waliishi nje ya nchi ya Israeli/Palestina, kutokana na [[vita]] vingi vya zamani vilivyosababisha [[wakimbizi]] kuhamia nchi zenye [[usalama]] zaidi. Jumuiya za Wayahudi zilipatikana katika miji yote mikubwa ya [[Afrika Kaskazini]] (hasa [[Misri]] na [[Libia]]), [[Ulaya Kusini]] na [[Asia Magharibi]] mpaka [[Uajemi]].
 
Kwa upande mmoja Wayahudi walitoka katika [[ukoo]] wa Ibrahimu, hasa waliokaa Israeli/Palestina. Lakini watu wengine wenye asili ya mataifa tofauti waliwahi kujiunga na [[imani]] ya Wayahudi na kuchukua hatua ya kuongoka na [[tohara|kutahiriwa]].
 
Katika mazingira yao Wayahudi walikuwa watu wa pekee waliomshuhudia Mungu mmoja tu. Walikuwa tofauti na wengine kwani hawakushiriki katika [[ibada]] ya [[miungu]] ya [[serikali]], tena walitunza [[utaratibu]] wa [[sabato]] yaani kutotenda kazi siku ya saba.
 
Mitume wa Yesu walizunguka awali hasa katika jumuiya za Wayahudi kila mahali walipokwenda. Mwanzoni Kanisa lilionekana kama [[dhehebu]] la Kiyahudi tu. Baada ya kupokea watu kutoka mataifa bila kuwatahiri hali ilibadilika: Kanisa likawa [[taifa la Mungu]] kutoka kwa Wayahudi na kwa Mataifa.
 
''' '' ===Ujio wa [[Roho Mtakatifu]]'' '''===
Mara baada ya Yesu kwenda zake katika tukio linalotajwa kupaa kwake mbinguni, wafuasi wake wakarudi [[Yerusalemu]], yapata mwendo wa [[sabato]], na walipoingia huko, wakapanda ghorofani walipokuwa wakikaa [[Mtume Petro]] na [[Mitume wa Yesu|wenzake]].
 
Hata ilipotimia siku ya [[Pentekoste]] walikuwapo wote mahali pamoja. Ukaja [[upepo]] toka juu kama upepo wa nguvu ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi. Kukatokea na ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao. Wote wakajazwa na Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa [[lugha]] nyingine, kama Roho alivyowajalia. ([[Mdo]] 1:12-14, 2:1-4).
 
Hii ilifuatiwa na Petro na wenzake kuanza kuhubiri [[ufufuko]] wa [[Bwana]] Yesu na hatimaye kugusa watu 3,000 waliokubali kubatizwa siku hiyo. (Mdo 2: 37-40).
 
''' ''===Ustawi wa jumuia ya kwanza ya wafuasi wa Kristo'' '''===
 
Watu walipokuwa wakidumu katika fundisho la mitume, [[sala]], [[ekaristi|kumega mkate]] na katika [[ushirika]], wengi wakaona ishara zao nyingi basi nao wakauza [[mali]] zao, na vitu walivyokuwanavyo, na kugawia watu wote kama kila mtu alivyokuwa na haja.
 
Line 74 ⟶ 83:
Kukutanika na kushiriki ma[[fumbo]] makuu, kushukuru na kusifu, pamoja na uwepo wa [[vipaji vya Roho Mtakatifu|vipaji]] na [[karama]] za Roho Mtakatifu, hufanya Kanisa liwe hai.
 
''' ''===Uenezi wa Kanisa'' '''===
[[Ujumbe]] wa Yesu ulienea haraka toka [[Yerusalemu]] hata [[Lida]], [[Yafa]], [[Kaisaria]], [[Samaria]], [[Damasko]] n.k. na kuanzisha jumuia nyingi.