Askofu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 81 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q29182 (translate me)
Mstari 37:
Kwa namna hiyo kuna mlolongo wa kuwekeana mikono kati ya wanaopokea nafasi ya uaskofu kuanzia mitume na kila kizazi cha maaskofu hadi leo. Hivyo maaskofu ni kiungo kati ya [[Yesu]] na waumini wa leo.
 
==Askofu kati ya Waprotestanti[[==]]
[[Picha:Akofu Luwum.jpg|thumb|150px|right|Askofu [[Janani Luwum]] wa Kanisa la Anglikana la Uganda aliyeuawa na [[Idi Amin]].]]
 
Baadhi ya [[madhehebu]] ya [[Uprotestanti]], hasa ya [[Anglikana]], yana kiongozi anayeitwa askofu, lakini mamlaka yake ni tofauti na ile ya maaskofu wa Kikatoliki na wa Kiorthodoksi, kutokana na mtazamo tofauti sana kuhusu Kanisa na [[sakramenti]]. Kwa kawaida viongozi wa Kiprotestanti hawakuwekewa mikono katika [[mlolongo wa kimitumemitume]].
 
[[Jamii:Viongozi wa Kikristo]]