Methali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tengua pitio 952555 lililoandikwa na 197.250.53.4 (Majadiliano)
Mstari 1:
'''Methali''' ni usemi mfupi wa mapokeo unaodokeza kwa muhtasari fikra au mafunzo mazito yatokanayo na uzoefu wa maisha ya jamii husika. Kauli fupi yenye pande mbili za fikra.
Maana ya methali ya chombo cha kuzama hakina usukani
 
Kila [[taifa]] na kila [[kabila]] lina methali zake, baadhi ya methali za [[Kiswahili]] ni kama: Mficha [[ugonjwa]], [[kifo]] humuumbua na mcheza kwao hutunzwa.
 
==Methali za Kiswahili==