Nyuzilandi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 58:
[[Wellington]] ni [[mji mkuu]] wa Nyuzilandi. [[Auckland]] ni [[mji]] mkubwa visiwani.
 
[[Lugha rasmi]] ni [[Kiingereza]], [[Kimaori]] na [[lugha ya mikono]] ya [[viziwi]].
 
==Watu==
Idadi ya wakazi ni 4,537,081.
 
Wengi wao wana asili ya [[Ulaya]].
[[Lugha rasmi]] ni [[Kiingereza]], [[Kimaori]] na [[lugha ya mikono]] ya [[viziwi]].
 
Upande wa [[dini]], 43.5% ni [[Wakristo]] wa [[madhehebu]] mbalimbali, kuanzia [[Kanisa Katoliki]] (11.07%) na [[Anglikana]] (10.33%). Idadi ya [[wasio na dini]] inazidi kupanda na imeshafikia 38.55%, mbali ya 12.27% wasio jibuwasiojibu swali kuhusu hilo.
 
== Miji ==